Mke wangu anachoka mapema kwenye tendo la ndoa

Mke wangu anachoka mapema kwenye tendo la ndoa

Joined
Apr 12, 2013
Posts
63
Reaction score
15
Nina mke mpaka sas 2na miaka 4 kwenye ndoa.ila chakushangaza anachoka mapema raund moja anakuwa hoi.wakat mim nakua bado
 
Naona kama humtendei haki mkeo kwa kuja kumwanika habari zenu za ndoa huku jamvini, any way zungumza nae kujua nini tatizo, usije kuta tatizo ni wewe mwenyewe ila wewe tu hujui.
 
inaonekana humpi service ndo mana anachoka ka vip mpeleke gerej,akichoka tena chukua new brand
 
Eti mtu ataona uvivu kula nyamba ya mbusi salala inanukiaaa ya kuchoma? Mjini kuna mambo! Ajiongezee ndimu na pilipili aone kama mkewe hajamganda kutwa kuchwa
inaonekana humpi service ndo mana anachoka ka vip mpeleke gerej,akichoka tena chukua new brand
 
dah,,,inashagaza bwana,,co fair,,habar kama hizo kuziweka wazwaz mbele ya wadau hapa,,au unajifurahisha tu,,kwa kudai mke wako,nn kinaendelea,!!,
 
Msongo wa mawazo. Vinginevyo majukumu ya kazi na kuangalia familia yanamtaiti sana
 
Msongo wa mawazo. Vinginevyo majukumu ya kazi na kuangalia familia yanamtaiti sana
Upo?? hata mimi nadhani huyu jamaa anamtegea mwenzie mjukumu yaafamilia lakini ifikapo usiku anadai kubembea wakati mwenzie ana mawazo.
 
Nina mke mpaka sas 2na miaka 4 kwenye ndoa.ila chakushangaza anachoka mapema raund moja anakuwa hoi.wakat mim nakua bado

Mkuu maelezo yako ni mafupi kiasi ambacho si rahisi kwa mtu kukupa ushauri wa maana.

Tatizo linaweza kuwa kwako au mke wako, au jinsi mnavyotayarishana kabla ya tendo n.k.
 
Pole mkuu! Najua inakupa shida kisaikolojia,ingawa hujaweka wazi mi naona kama ulikuwa unaridhika siku za nyuma ili siku za hivi karibuni ndo tatizo limeanza,pls mpunguzie kazi za kulea familia anachoka sana(tafuta mfanyakazi amsaidie) nashauri uzungumze nae muone nini cha kufanya mambo yataenda poa... Na utafaidi kama zamani
 
Nina mke mpaka sas 2na miaka 4 kwenye ndoa.ila chakushangaza anachoka mapema raund moja anakuwa hoi.wakat mim nakua bado

we kama unamuacha anapigika kutwa nzima na mikazi ya nyumbani hata humsaidii unategemea usiku aende round ngapi jichunguze kwanza mwandae mwenzio acha papara
 
Hiyo mapema unayosema nmi dakika ngapi? maana zile picha za x zisikudanganye.
stori za dakika 45,ni kudanganyana.Na kama unatumia dawa za kuongeza nguvu
msiwe mnawasahau kuwanunulia na wake zenu.

Sio mtu una nguvu za simba unatafuta mechi ya mapambano na sungura.
 
Back
Top Bottom