Mke wangu hataki kufanya tendo la ndoa

Mke wangu hataki kufanya tendo la ndoa

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
Wanajamii naombeni ushauri,

Kwanza najua kabisa kwamba mke wangu sio mpenzi wa tendo la ndoa kama mimi. Mara nyingi nimekuwa mimi ndio mwanzilishi wa kuomba kwamba nahitaji au vinginevyo imefikia mahali naona kama namlazimisha na anafanya kama vile ni lazima.

Pili naona kama maungo yangu yanamzidi uwezo yaani nimekuwa nikifanya kwa utaratibu bila kufanya stailli mbalimbali ili nisimuumize lakini inavyoonekana ni kwamba anapata maumivu sana nikimuuliza huwa anaogopa kusema lakini pia amekuwa akitokwa na damu mwakati wa tendo la ndoa, hivyo naona kuwa labda pengine ni kutokana na kiungo kikubwa Mungu alichonijaalia.

Sasa jamani nifanyeje na mimi bado nampenda mke wangu na ninahitaji kula tunda?
 
Mh hapa kwehitaji ushauri wa maana bila hivyo ndoa itakua haina raha!! mh ndo maana humu ndani kuna watu wanakubali usemi wa Kutest kabla ya ndoa maana shida kama hizi utakua ushazijua!!
 
Wanajamii naombeni ushauri kwanza najua kabisa kwamba mke wangu sio mpenzi wa tendo la ndoa kama mimi.

Mara nyingi nimekuwa mimi ndio mwanzilishi wa kuomba kwamba nahitaji au vinginevyo imefikia mahali naona kama namlazimisha na anafanya kama vile ni laizima.

Pili naona kama maungo yangu yanamzidi uwezo yaani nimekuwa nikifanya kwa utaratibu bila kufanya stailli mbalimbali ili nisimuumize lakini inavyoonekana ni kwamba anapata maumivu sana nikimuuliza huwa anaogopa kusema lakini pia amekuwa akitokwa na damu mwakati wa tendo la ndoa, hivyo naona kuwa labda pngine ni kutokana na kiungo kikubwa Mungu alichonijaalia.
Sasa jamani nifanyeje na mimi bado nampenda mke wangu na ninahitaji kula tunda?

Hapo nilipo bold ndio panapomfanya asijisikie kufanya tendo. Kinachotakiwa ni maandalizi kabla ya kuanza kumuingilia kimwili, kwa kawaida viungo vya mwanamke kuwa vinatatuka wakati wa maandalizi. sasa kama hufanyi maandalizi yoyote lazima unamuumiza hata kama huma viungo vikubwa.

Fanya maandalizi kabla ya gemu kaka...
 
Si maandalizi tu, kuna zaidi muoneni dr. kuna wanawake wanahilo tatzizo niliwahi kusoma mahali.
 
kitalolo hebu jaribu kukijua kifaa ulichopewa jinsi ya kukitumia
hebu jaribu kumuuliza wife ni vip anakuwa confotable wakati wa mahaba
na swala la kumtoa damu nenda Hosp mkapate ushauri wa daktari
inawezekana una chuma cha reli
 
Kama inamchukua muda kutoa majimaji yake paka mate mzee! Ngoma inateleza kama maji ya sabuni! Wala damu haitamtoka maana inatanuka na utelezi! Jaribu hii! Isipoleta mafanikio ni PM nikupe mbinu ya pili
 
Wewe hujui kumuandaa mkeo bwana acha kutuletea habari za kuwa na kiungo kikubwa. Nenda kajifunze kumuandaa mkeo acha story bana

Anatuzuga huyu, inamaana kabla hajamuoa alikuwa hajafanya testing? Ile kitu ni elastic bana hamna cha ndude kubwa wala nini. Mtoto anapita seze hicho?
 
Anatuzuga huyu, inamaana kabla hajamuoa alikuwa hajafanya testing? Ile kitu ni elastic bana hamna cha ndude kubwa wala nini. Mtoto anapita seze hicho?

Xpin unadhani wote huwa wanafanya test kama wewe hahah
 
Tusikimbilie kusema kwamba hamuandai mkewe, umesema mkeo hata hakuchokozi mpaka umuanze wewe! na mkifanya hajiskii kufanya! na mkimaliza unamtoa damu! tena wewe mandingo yako kubwa mno (nna mashaka! kwani wakati mnaanzana mandingo yako ilikuwa bado haijakua?) hilo la mpingo mkubwa sikubaliani nalo...

..labda kama una kilema(yaani una kilema cha uume ni mkubwa sana). Uwezekanao mkubwa katika hili ni matatizo kwa mkeo, labda ana maambukizi yanayofanya uke kukauka au kuwa na vidonda vidogovidogo sana, na pia kumuondolea hamu ya yeye kufanya tendo la ndoa.

Kwa ushauri wangu nendeni mkamuone doctor, na hii thread muihamishie kule chini kwa madoctor, mtapata msaada wa kitaalamu, HUKU KUNA WALIMU WENGI WA KUFANYA NGONO WAKATI WAKE ZAO WAMESHAWAKIMBIA! Pole sana muzee.
 
Mzee nenda kamuone daktari huenda mkeo ana matatizo, humu ndani utapewa tu staili za kumega lakini zinaweza zisisaidie kitu!
 
Wewe hujui kumuandaa mkeo bwana acha kutuletea habari za kuwa na kiungo kikubwa. Nenda kajifunze kumuandaa mkeo acha story bana

ndio maoni uliyoweza kunipa? sasa huwa naweza kufanya naye romance muda mrefu sana na huwa anatokwa na maji mengi na huwa napaka mate mbinu zote hizo nimejaribu na sasa natumia K-Y jelly ili niweze kumsaidia mwenzangu asiumia lakini yote hiyo haijasaidi .

nimejaribu pia kumwandaa kisaikolojia yaani mapema sana pengine tuiwa kazini mchana namtumia hata sms za mapenzi na kumwambia kuwa nina hamu naye ili tukikutana awe amekwishaiandaa akili yake lakini naona yote hii haijasaidi. ni mwanamke mzuri na niliifungua mwenyewe kwenye makaratasi mzee nim ewahi kuwa na wanawake wengi huyu si wa kwanza kwangu hivyo maandalizi nafikiri kwangu sio tatizo kubwa

kwana wanawake wengi niliokutana nao wamekuwa wakisifia na limekuwa likiwaliza wengi na wawili kati yao ilibidi wapate msaada wa kidaktari kwamba kizazi kimepata msukosuko na kisa cha kuachana mwanamkee mmoja wao ilikuwa hi hicho alisema hataweza kuihili ingawa ananipenda sana mpaka sasa huwa tunasalimiana vizuri na hatuna shida ila yeye alisema amesalimu amri nisijemuua bure kwani hakuna mwanammke aliyewahi kunipa zaidi ya cha pili maana chakwanza huwa ni chakawaidi sana ila tatizo linakuja cha pili kukipata inaweza kuchukua kama nusu saa hivi au zaidi na nikifanikiwa kukoja basi uume kulala inakuwa kazi kwelikweli

ila kukipata cha pili ni mara chache kwani wanawake wengi wamekuwa wakiomba niishie hapo kwani wao huwa hawawezi , ni mmoja tu kati ya wanawake wote niliowahi kuwa nao ndio niliachana naye lakini kwasasa huwa ananipigia simu ananiambia alichokikuta kwa bwana wake hakimtoshi hivyo anahitaji niwe nampa mara mojam oja ila nimekamatalia maana nilikua kiapoa na mke wangu na sitaki kumsaliti umekwishhaona mimi nimetuma post hapa jamii forus tangu nimejuina na nina muda mrefu sana hapa ili kwa hii

nimeonelea nijaribu kuomba ushauri kwa wazee pengine kuna aatakayeweza kunisaidia.

asanten
 
Mh hapa kwehitaji ushauri wa maana bila hivyo ndoa itakua haina raha!! mh ndo maana humu ndani kuna watu wanakubali usemi wa Kutest kabla ya ndoa maana shida kama hizi utakua ushazijua!!

kweli mkubwa wangu unajua huyu mtoto nilimapa kwenye makanisa ya kiroho na alikuwa amesimama kweli kwenye imani yake hivyo wanaume alikuwa anawaona kama mashetani vile lakini mwavuli wake ukafungukia kwangu na kama nilivyoeleza hapo awali mtoto nilimtoa bikira mwenyewe
 
kitalolo hebu jaribu kukijua kifaa ulichopewa jinsi ya kukitumia
hebu jaribu kumuuliza wife ni vip anakuwa confotable wakati wa mahaba
na swala la kumtoa damu nenda Hosp mkapate ushauri wa daktari
inawezekana una chuma cha reli

kwa kichagha tunasema aika mae nitafwata ushauri wako na kushauriana na mwenzangu kumwona daktari ingawa yeye hapendi sana tutafute ushauri nje ni mtu mwenye aibu sana nikisema sana namaanisha sana yaani huwa hawezi kenda hata dukani akanunu chupi yake mwenyewe wala ile taulo ya usafi kwa kina mama yeye kwakufanya hivyo anaona kama wamemchungulia sasa sijui kwahi kama atapenda tuwashirikishe madaktari ila nitaongea naye na kujaribu kumshauri kwafaida yetu
 
Boss muelekeze basi amuandaaje!

kweli angeeleza jinsi ya kumuandaa hata mimi ningeona katoa ushari maana hapo juu nimekwishajibu jinsi ninavyomuandaa kama nizaidi ya hapo basi na anielekeze. ila asanteni wote kwa ushauri nafikiri hili la kumwona daktari kwaajili ya kutoka damu nitalifanyia kazi haraka sana nikipata majibu kwa dokta hata hivyo nitarudi hapa kuwapeni asantenisana
 
hizo ndo effect za dawa za kichina mnazotumia kuongeza dude!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom