Wana JF,
Tendo la ndoa mwisho wa siku huitimishwa kwa me/ ke kupiga mshindo (ejaculation). Ni kitendo ambacho hakizidi sekunde kumi na tano. Vipi kama kitendo cha kupiga mshindo kingechua walau dakika nzima.
Toa maoni
Mungu angeweka namna pia..........tunajuaje kama hiki cha sasa kilikuwa muda gani kikapunguzwa au kuongezwa........
Swali gani hili meku.........?.......