Hongera kama hujabaka ama kubakwa

Hongera kama hujabaka ama kubakwa

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
Ukitafakari sana utagunda wengi wetu tumebaka ama kubakwa bila kufahamu. Kubaka ni kitendo cha dushe kuingia kwa kiwango chochote katika papuchi bila ridhaa ya mhusika.

Sasa ridhaa hapa ni pamoja na umri , kama mhusika hajafikia age of majority ni ubakaji yaani miaka 18, kama alilewa ama hakujitambua pia ni ubakaji.

Kama alidanganywa ama kupewa ahadi isiyokuja kutimizwa mfano wale wanaoahidi kuoa ama wanaoa kiuongouongo kisha wanafukuza.

Wanawake wanapowafanyisha tendo watoto wadogo nayo ni kubaka. Sasa kama hujabaka ama kubakwa hongera sana wewe ni wa kipekee.
 
kama ndo hivyo basi wanaume wote tumebaka.... maana bila kudanganya kugegeda utabakia kusimuliwa
 
Duh hizi definition nyingine hizi. Naskia kuna nyingine mpya kuwa hata mkiwa katikati ya tendo Akisema No unatakiwa kuacha faster otherwise utakuwa umebaka
 
Kwa Tanganyika hii, sidhani kama ni kweli ulichokiandika
 
Huu mpango wa kukumbushana mambo niliyoyafanya miaka dahari sio mzuri kabisa ooh jamani wengine umri umesogea! tukianzia kijipikilisha Mpaka kombolela wengi waliumia katika mtiririko huo.
 
Back
Top Bottom