Nilimshauri mlokole aachane na free p na leo amekuja kunishukuru!

Nilimshauri mlokole aachane na free p na leo amekuja kunishukuru!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,210
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooo!

Disclaimer.
Leo jumapili chonde chonde nipo kwenye Sabato, msinikwaze. Mada ya leo ni CAVEAT EMPTOR OR BUYER BE AWARE! Title iko very direct! Sasa basi kama mambo huyawezi, yanakukwaza, hayaendani na msimamo wako pita mbali na shetani! Kiranga chako kusoma ukitoka povu la omo shauri yako! Kujifanya we live in perfect society ni uongo! We live in dangerous times thats a fact! NI KAZI CHAFU LAKINI LAZIMA MTU AIFANYE!

Back to Topic.

Kuna mdada mmoja my old roomate back in the days, mama mchungaji, na kwao wana kanisa kabisaa ambalo wifi yake analiendeaha, na baba yake pia huko Njombe alikuwa na kanisa anaendesha pia so ni mlokole deep deep! Sio ule wa kuchovya chovya.

Huyu mtu hatukuwa marafiki in such lakini tulizoena sababu mizambi yetu tulikuwa tunamsimulia, anatuombea, anatushauri ila bila bila mwendo ule ule! Sasa kama mjuavyo na ulokole siku hizi uko modfied! Vijana walokole leo sio wale wa the DARK 90'S wana swagga men! They have class, standards, wako fashionable hivo though they are still conservative as the old ones lakini kidogooo wamechachuachachua!

Tatizo la mama mchungaji ni kuwa she is too much a believer! She believes in miracles which is good, she believes in living the world we dream of! She wants to live the scriptures, live the talk she is preaching!
Sasa hapo kidogo palileta mushkeli!

Manake ni mtu mwemaaaaa mnooooo! Sasa dunia ya leo ukiwa mwema mno napo unafanywa sandakalawe! People are animals by nature, homo sapiens is our origin wata ku abuse, take advantage of you! Hivo! Manake we una good intentions, unajitoa hoping to make the world a better place wenzio wanaona nyama imejileta!

Hakuwa mtu wa makuu so achune ili iweje? Alikuwa mtu wa kujitoa mnooo, akikaa na mwanaume ataona ndo mumewe, watapanga mambo makubwa, ashachangaga na mwanaumw kununua plot na gari akazulumiwa vyoteeeeee!

Ndioooooo! Mwanaume akikwama anajitoaaa! Doooooh! Kuna siku bf wangu mie kaenda kumkopa yeye hela, akaja kunishauri mdogo wake navomfanyia shemeji si vizuri! Biashara ya bwana wangu ndio, kwanini namnyima hela wakati hela ninayo anajua! Nikamwabia weweeeee unanionaje kwanza?

Ndugu zangu unawaona pale wanangoja mi niwatoe kimaisha? Hela yangu ina kazi! We mkopeshe atakulipa nauhakika, ila mie nikimkopesha nimetoa sadaka! Ndo kiendacho kwa bwana hakirudi hivooo! Lbda zirudi Free P za kufutia jasho! Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Alisikitika mnooo!

Baada ya kufanywa ndivo sivo mara kadhaa akaja kuniambia nimechokaaaaa! Yaani sina hamu! Niambie nifanyaje? Hands down! People are abusing my trust, taking advantage of my kindness, vandalising my charittyness, and inaniuma sanaaa, mno mno mno! All i wanted was to make a difference, be the idol woman, make the world a better place!

Nikamwambia stop dreaming! Reality check! We live in a corrupt world, the only way to survive is becoming corrupt your self! How can you change the game you hardly know its rules.

The only way to control let alone change decit is by becomming the master of deceit your self. Moyo wa mtu kiza kinene. Ndo maana in only God we trust but in humans we speculate, investigate, provoke, spy, anythin to protect your self!

Tution ya elimination of free p osis ikanza! Nikamwambia assume wewe ni mwanaume sasa, ni binadamu, there is this girl anakushobokea, she may not be quite a shocker but still she is managable for human consumtion, dada anajiongezaa mwenyewe, kabla hujaamua anakutreat, ana roho nzuri, under your human nature hutompiga FREE P kwanza kujiburudisha tu, 2nd she was asking for it, 3rd it will be unecesarly rude to refuse, 4th you have nothin to loose anyway, 5th you dont know, maybe you should find out! Unaonaaa? Nondo zikaanza kumuingia ubongoni!

Nikamwambia be the same man, but this time the same girl lakini anataka Galaxy Note 3, anataka kudine sehemu zinazoeleweka, anataka kila kitu would you incurr an extra cost wakati hum feel? Si utampotezea tu? Umeonaaaa! Kuliwa bure ni kujitakia!?

The only time the guy goes an extra mile is when HE IS INTERESTED! Money is scarce! No guy anatoa hela yake kizembe kwa issue ambayo hajakubali viwango vyake! Sometime tunaomba hela kupima HOW FAR WILL HE GO FOR ME? How many extra miles?

Am i just not a nyama iliyojileta yenyewe? These days you can never be sure! Aleeping with the enemy/devil is the name of the game these days! Unajiona woman of virtues, morals, etc unatoa for the sake of love unakuja kusikia "Demu yule nimemgegeda kwa sahani ya wali nyama, mchicha pembeni na sprite baridiiiii huwezi amini! She is that cheap! Ndo nilichmuoffer alokuja geto!" Hahahaaaaaaaaaaa! Nilicheka kwa huzuni!

Mwanaume akitoa HELA ujue kuna intrest ya ziada! Ni kipimo kizuri sanaa cha malengo yake! Kama ana malengo na wewe hawezi kiona issue kukuhudumia! Usimuamini mtu kirahisi! Akaniabia umeniambia outrageous theories lakini they make sense in the times we liv in! Nashukuru!

Leo kaja kunishikuru na Roba la kitu cha super kyelaa, akaniambia niliokoka na FREE P nyingi sanaaa! Niliokoa mda, kuingia mahusiano yasiyo na future, na nimempata wa ukweli nakualika kwenye mahari yangu 18th July!

Aleleleleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Dada huyooooo anaolewaaaaa!akaniambia nakukaribisha kanisani kwetu uongee na wasichana, uwafumbue macho, though inabidi udown size na kuchachua content iendane na maadili ya kanisa, bt watapata mawili matatu ya msingi dunia ya leo! Its a new world, it needs new teachers, new minds, free spirts like you! Ambae anaweza ku connect na rika la vijana wa leo, speak their language. Tafadhali uje!

Ofcourse kwenye mahari lazima niende, but please preaching my mediocracy in church will be going to far! Though i feel sorry for the girls i wish they listen to their mothers and keep their legs closed till marriage!as old as it may sound but this cardinal principle is still 100%efficient n effective.

THE END
 
Loading Error,..

Lara 1 unatumia Type writter?
 
Nishamtengenezea picha kichwan ila du ghafla picha imestuck... nangojea nta-resume
 
network error au unakunywa maji kulainisha koo.......am waiting.
 
lara 1 umeanza lini hii tabia?
 
Last edited by a moderator:
Come back Lara! Au umepata mteja wa marine boards?
 
Uzi ni mzuri na una ujumbe mzuri sana hongera kwa hilo, tatizo mwandishi anaboa sana nashikwa na butwaa kama anauwezo wa kutoa risala au hotuba kwa watanzania,even if ukihojiwa na mwandishi wa habari kama shuuda wa tukio furani utatutia haibu watanzania
 
nampenda sana lara mojayuko wazi sana (angalau kwenye keyboard), dunia ni mlano, kila mtu anaangalia maslahi, huo ndiyo ukwweli, na asilimia 98 ya waddada lazima wanaangalia maslahi, hiyo 2% ni wale wanaoishi maisha ya ndoto, huo ni ukweli ambao ni ngumu kuukataa, nikiwa nadate na mwanamke najua kabisa kwamba anategemea kitu fulani tofauti na mapenzi kutoka kwangu, na yeye ajue kabisa kuwa nategemea kitu fulani tofauti na mapenzi kutoka kwake, achana na haya mambo ya pesa ndogondogo kamakulipa bills nk, hayo kwa mwanamke anayejielewa na asiye cheap anajitahidi kuchukulia credit kwa kushiriki katika kuyasolve. hii ndiyo dunia tuliomo, usipoelea kwa kuogelea utaelea ukiwa mfu!
 
nampenda sana lara mojayuko wazi sana (angalau kwenye keyboard), dunia ni mlano, kila mtu anaangalia maslahi, huo ndiyo ukwweli, na asilimia 98 ya waddada lazima wanaangalia maslahi, hiyo 2% ni wale wanaoishi maisha ya ndoto, huo ni ukweli ambao ni ngumu kuukataa, nikiwa nadate na mwanamke najua kabisa kwamba anategemea kitu fulani tofauti na mapenzi kutoka kwangu, na yeye ajue kabisa kuwa nategemea kitu fulani tofauti na mapenzi kutoka kwake, achana na haya mambo ya pesa ndogondogo kamakulipa bills nk, hayo kwa mwanamke anayejielewa na asiye cheap anajitahidi kuchukulia credit kwa kushiriki katika kuyasolve. hii ndiyo dunia tuliomo, usipoelea kwa kuogelea utaelea ukiwa mfu!
Chungu lakini ndo dawa hivoooo! Ukweli unauma lakini ndo ukweli!
 
Uzi ni mzuri na una ujumbe mzuri sana hongera kwa hilo, tatizo mwandishi anaboa sana nashikwa na butwaa kama anauwezo wa kutoa risala au hotuba kwa watanzania,even if ukihojiwa na mwandishi wa habari kama shuuda wa tukio furani utatutia haibu watanzania

Sijasoma journalism nachachua chachua tu! One day yes nitasoma japo kisertificate niwe a profesional writer! On the mean time bear with me my incompleteness!
 
Back
Top Bottom