Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwenzenu nna tatizo, yani harufu ya kiume inanifanya nalowa chu-pi kabisa, haswa nikisalimiana na mwanamme kwa njia ya kukumbatiana. Ile harufu ikibaki kwangu nashindwa kabisa kujizuia...
5 Reactions
158 Replies
23K Views
1. Wapenda kulakula, muda mfupi baada ya kumaliza kula kama familia, yeye kila umkutapo lazima anakula tena, mara nipe chai, nami huo uji wa mtoto nipe kidogo, hamna matunda humo kwenye friji...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Mwanaume niliyeachana nae ananiletea vijizawadi sasa simuelewi ananipenda au? Hivi inakuwaje ukiwa umeachana na mtu alafu bado anakuletea zawadi. Karibuni mnishauri
0 Reactions
27 Replies
5K Views
NB: Njia hizi ni maelezo yangu binafsi kutokana na tafiti zangu. Hakuna kinachouma na kujisikia vibaya kama moyo ulioumizwa kimapenzi,kwamba Mtu umpendaye sana kutoka moyoni anasitisha...
3 Reactions
3 Replies
12K Views
Kwanza poleni kea majukumu ya Jumatatu, Jamani ndugu zangu nisaidieni mimi, nina mume ambae mwanzoni mwa ndoa yetu alionyesha kunipenda sana. Lakini kadiri maisha yanavosonga mume wangu...
0 Reactions
52 Replies
13K Views
Wakuu habari, Nimekua mfuatiliaji wa jf kama visitor tu kwa mwaka mzima, wiki iliyopita nilijiunga rasmi ili niweze ku share na nyinyi mkasa huu ulionipata wakati nahangaika na ujana...
6 Reactions
89 Replies
16K Views
Kweli dalili ya mvua ni mawingu mpaka muda huu simu hazipokelewi message hazijibiwi ni katika kuelekea siku ya valentine day kesho, Je nikweli kuwa siku ya wapendanao ni siku yakusalitiana, ni...
2 Reactions
50 Replies
7K Views
Habarini wote, Naomba nieleweke kuwa mimi nahitaji mwanamke mmoja (sio mke) kwaajili ya kutumia pesa nilizo nazo,nina hela kwakweli na pia zitamridhisha kwa muda mrefu tu japo siwezi kusema ni...
0 Reactions
105 Replies
9K Views
HOME LIFE DO - Own a dog. A dog is truly man's best friend. When things are rough, your dog will be there for you. Nothing is more trustworthy or loyal as your dog. DON'T - Own a cat or any...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Nimeona wengi wanakuja hapa kwa ushauri na wanafanikwa nami nimeona niseme langu naweza pata ufumbuzi. Wakuu nilikuja Dar kwa mara ya kwanza kujiunga na chuo sikua nimefika...
5 Reactions
117 Replies
18K Views
Habari ya wakati huu wadau, Nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja baadae tukaachana vizuri tu. Lakini amekuwa kila mara akinitumia meseji yeye ni matusi tu, :sly:mara wewe malaya umeamkaje...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Habari za leo ndugu zangu, Mimi ni mkazi wa Arusha ila kwa bahati nzuri nimepata kazi mkoani Singida, kutokana na ugeni napenda kupata marafiki waliopo Singida mjini, na pia wawe watu wazima...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
HII NDIYO ADHABU KUBWA YA MPENZI ANAYEKUSALITI Wanaume wengi wanapogundua kuwa wapenzi wao wanawasaliti, wanatunisha misuli kuonesha umwamba kwakuwatwanga makonde wapenzi wao au kuwafanyia...
3 Reactions
41 Replies
55K Views
Bungeni unapitishwa mswada wa Cyber crime.Ukisambaza picha za utupu jela na fine. So Nancy inabidi afunge tu hiyo blog no bongo certification tena. updates Nancy kasema blog inafungwa so watu...
2 Reactions
161 Replies
54K Views
-Chips -Chocolate -Pipi -Mihogo mibichi -Urojo -Malimao -Biscut -Soda aina ya fanta -Pizza -Burger
0 Reactions
86 Replies
14K Views
Nimekaa nimejiuliza sana kwanini sina uhusiano wenye msimamo katika maisha yangu hadi nafikisha miaka 27 sasa naishia kuumizwa na kutoswa? Japo nina ajira ila sijapata jibu nimeamua kuweka mada...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Waheshimiwa wana JamiiForums, Hususani jukwaaa hili MMU naomba kuchukua fursa hii kuwasalimu na kuwapa pole na majukumu ya kila siku, na baada ya salamu nabisha hodi katika jukwaa hili...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwanamke nimemtongoza kanikubalia, nikamuomba mzigo kanibania, alafu muda mwingi anaokutana na mimi anakifanya ana haraka muda mwingi utamsikia akisema 'nataka kuondoka lakini nina haraka' as if...
0 Reactions
113 Replies
23K Views
Wadau, Mikoa inakoliwa Mirungi, walaji wakubwa ni vijana wa rika la kuoa. Nachelewa kusema kuwa one of the biggest biological effects of Mirungi ni kupoteza hamu ya kufanya mapenzi (low libido)...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nimeambiwa katika maswali mwanaume anayochukizwa nalo ni hili "ulikuwa wapi" actually ukichelewa na wakati najua ratiba yako lazima nikuulize ulikuwa wapi hili swali tuliwekeje ili lisiwaudhi...
6 Reactions
220 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…