Heshima kwenu wakuu,
Nimeona nilete humu, nikiamini kuwa kuna watu wameona mengi. Mimi nina mdogo wangu, alipata mchumba yapata miezi tisa sasa, wote ni wakristo tofauti ni madhehebu...
Mara kwa mara watu wamekuwa wakileta mada mbalimbali kwa lengo la kuomba ushauri na mawazo ili yawasaidie kuchanganyana na zao katika kufanya hitimisho kwa yale yalowasibu lakini wana MMU...
samahan wa love connect ,,,
mchumba ameshapatikana naomba msinitafute tena na.ahsanten kwa ushirikiano wenu...nawapenda sana na Mungu awabariki. Tuzidi kuombeana mema zaid na zaidi.
Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, katika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa.
Nazo ni;
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity dress (Nguo ya...
Wakuu nawasalim
Siku chache zilizopita nilikuja hapa kuomba ushauri juu ya mwanamke mmoja niliezaa nae miaka ya 90 na baadae dada huyu kuniambia kuwa mtoto alikufa kumbe yupo hai na amemaliza form...
baada ya kuishi kibachela miaka kadhaaa nmeamu kuoa mke mwenye maadili yupo vizur ila naambiwa Mali hapa mkwelima ni ng'ombe 10,jaman basi nmekomaa wamegoma nmekubali,
Amani iwe nanyi humu ndani ndugu zangu. kwa kuzingatia padri ni mjumbe maalum na muhimu katika kushuhudia na kuthibitisha mahusiano yenu katika ndoa takatifu, napenda kuwa na mahusiano mema na ya...
Kijana mmoja alikuwa na mpenzi wake ambaye walipendana sana Kijana alimpenda sana bint na bint alimpenda sana kijana siku zikazidi kwenda Kijana alimuhudumia mpenzi wake kwa kila hitaji alimtunza...
Habariiiiiiii zenu bhana?
Unataka kujua mapenzi ya kweli na matamu yalipo? Njoo uswazi,Mfano huku kwetu Tandale Kwa Mtogole jamani utapendwa weeee mpaka utaumwa
#Huku watu wanajua kujituma...
Nimejaribu kufanya kautafiti kasiko rasmi. Nimegundua ukiwa katika ndoa ni rahisi zaidi kupata UKIMWI kuliko ukiwa mzee wa dada poa na pia gharama za kumuhudumia mke ni kubwa kuliko za kumlipa...
Najua humu jamvini haya mambo yapo sana,
1. Usifanye hii kitu kama una huruma sana maana unaweza shindwa kumtosa mtu ambaye hajakuridhisha.
2. Kama ni mwanaume inatakiwa kuwahi...
Habari zenu wana MMU,
Leo ilikuwa siku ya kukwazika sana ila ahsante MUNGU now nipo oky.Nimekuja kutaka kupewa hints au solution jinsi ya kuhandle hii situation, may be nianze kwa kusema haya...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nilivokuwa A level hostel niliyokuwa nakaa kulikuwa na RIVALRY baina ya shule hii na...
Wasalaam
Mimi ni kijana wa miaka 28, kwa kumbukumbu zangu nilishafanya mapenzi na wasichana 92
Wasukuma 10
Wachaga 8
Wamasai 2
Wajaruo 6
Wazaram 4
Baadhi tu.
Cha...
Mi hii milio sometimes nahisi kama kutuzuga wanaume tujione tunapiga kende kisawasawa kumbe waaapi, nilianza kuistukia hiyo kipindi niko na shemeji yenu/wifi fulani hivi, mwanzoni kipindi...
Salaam wanabodi,
Nimeona nitumie fursa hii kuwafunulia dada na mama zetu jambo moja ambalo wengi wao hawalielewi au hawataki kulielewa.
Kwa kawaida wanaume wengi huwa hawaingii mazima...
Habari wanalibeneke,
Jana nilikuwa mahala fulani na mpenzi wangu tukipiga stori na kuongea mengi kuhusu mahusiano yetu.
Niseme kuwa mimi huwa sipendi kugusa ama kufuatilia simu ya mwenza wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.