Amani iwe nanyi humu ndani ndugu zangu. kwa kuzingatia padri ni mjumbe maalum na muhimu katika kushuhudia na kuthibitisha mahusiano yenu katika ndoa takatifu, napenda kuwa na mahusiano mema na ya heshima na taadhima kwa nia njema ya kujenga ndoa imara.
Vijana wengi humu mahusiano yenu yanavurugika kwa kushindwa au kukataa kumhusisha Mungu katika yale mliyokusudia au kuwa na mambo yasiyo na nia njema. Salini Mungu awaimarishe katika mahusiano na urafiki wenu mwenye swali kuhusu ndoa au upadri aulize kwa nidhamu na staha ayajibiwa. asante za dhati kwa bamu na wengine wenye nia njema.
Jumamosi njema