Mara kwa mara watu wamekuwa wakileta mada mbalimbali kwa lengo la kuomba ushauri na mawazo ili yawasaidie kuchanganyana na zao katika kufanya hitimisho kwa yale yalowasibu lakini wana MMU wengi(sio wote) wamekuwa wakikejeli
Na wengine kutoa ushauri mfu ambao haujengi na wakati mwingine wakitoa ushauri kuegemea jinsi zao mfano ukileta mada inayomhusu mwanamke hata kama ana makosa wanawake wenzao watamtetea kwa kila namna kana kwamba wao ni malaika hawafanyi makosa.
Tubadilike jamani