Natafuta rafiki wa kike popote pale. Napenda awe mrefu na asiwe kibonge, umri kuanzia miaka 22 mpaka 27. Pia awe mcha MUNGU katika roho na kweli.
Ni pm nitakujibu na tutafahamiana kiundani...
Nipo Arusha napenda sana kutembelea siku za wikiend kwenda sehemu za nje ya mji natafuta kampan ya ladies wenye tabia ya kutoka wikiend.
N:B Mimi ni 20 somthing years old
Habarini wakuu,
Kifupi mimi naamini uwe na hofu ya MUNGU, Mlokole, Mtumishi au usiye mlokole, kabla ya kumpenda mwanamke lazima utakuwa umemtamani na zaidi tunaanza kutamani sura, umbile na...
Tangu nilivoachana na mpenzi wangu wa zamani mwaka jana, nimekua bored all the time na nimegundua kua upweke sio kabisa let engage in other relation and God be front.
Mimi ni mwanaume nimesoma na nimeajiriwa serikalini. Ninatafuta mwanamke aliye tayari kuolewa na kulea familia.
Mimi nina umri wa miaka 30.
Aliye tayari ani Pm
Asalam Jamii,
Iko ivi unakuta mtu anahitaji kitu tena kwa viapo "ooooh jamani mimi nikimpata fulani apo ndio mwisho wangu yaani nitatulia yani brabra nyingi. Ila sasa akimpata wiki tu ataanza...
Vijana wengi aamekuwa wakipata shida sana juu ya viungo vya mwanamke kama vile matiti, hips nk. Sasa basi hivyo viungo vyote ni vya kwetu sisi isipokuwa ni MUNGU tu aliamua kugawa ili kutupunguzia...
Wakuu,
Nimepanga nyumba moja hivi yenye wapangaji watatu, mimi, familia moja hivi na huyu binti tuliefumaniwa nae. Huyu binti kwao Rwanda ni mtusi mumewe ni dereva wa Malori yaendayo Rwanda na...
Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu ni kimbaumbau sana lakini cha kushangaza eti wasichana wake wote huwa wanamwita `Tyson'eti yule anafananishwa na yule mbabe wa masumbwi ya uzani wa juu, baada ya...
Habari za majukumu wanajamvi,
Nina rafiki yangu wa kike ambaye hivi majuzi alimpeleka rafiki yake wa kiume ambaye ni mume mtarajiwa huko kwao yaani kwa wazazi wa mwanamke kwa utambulisho zaidi...
Kwamfano;
Unapata mtoto ukiwa na miaka 30, mtoto baada ya miaka 6 anaanza darasa la 1, wewe una miaka 37.
Anamaliza darasa la 7, wewe una miaka 44. Anamaliza kidato cha 4, wewe una miaka 48...
Samahani ndugu wanajukwaa. Naona habari za mapenzi zinapewa nafasi kubwa humu. Je kuna faida kufanya mapenzi kwa mwanaume au mwanamke? Kuna tatizo gani mtu asipofanya hzo habari zenu za mgegedo?
Wadau,
Hali ni tete, kwa wale tunaotumia usafiri wa daladala,madereva wamegoma usafiri hakuna mbaya zaidi nvua inanyesha.Hivyo yakifanyika makosa Baby anaweza kudondoka kwenye mikono isiyo salama.
Natafuta marafiki sio mchumba,
Nipo DSM natafuta marafiki nina miaka 22, jinsia yeyote mnaruhusiwa kikubwa ni nataka kubadilishana mawazo na watu walionitangulia kimaisha pia kupata ushauri...
Una mkeo ambapo hamjafanikiwa kupata mtoto kulingana na mipangilio yenu ya kimaisha mliojiwekea. kazi yako ni fundi wa ujenzi ambapo mara nyingi unapata site za mbali na unapoishi kulingana na...
Jamani wanajukwaa naomba mnipe mawazo yenu hapa etu ikitokea unamwanamke uko nae in relation anakwambia anaenda kuonana na mwanaume flani walishawahi kufanya nae kazi sehemu flani,unapojaribu...
Jamani kuna msichana yeye nikimshika tu kidogo kwenye nanihii anatoa masauti kama ya mnyama gani sijui nikimgegeda mpaka napata kinyaa natamani nimtie makofi maana analia kienyeji kabisa kama...
Kaja ndugu yangu wa kike kunitembelea sehemu ya kazi amekaa takriban wiki nzima demu wangu skumtarifu sa kapata taarifa kutoka kwa marafki zake kuwa nina manz ndan alivyonipigia nkamueleza ila...
Wapendwa habari za leo. natumai kwa mapenzi yake mungu mu wazima wa afya. Nawaulizeni hivi leo hii ikitokea umeulizwa na mkeo/mpenzi wako/mmeo swali hili utajibu wangapi? "HIVI MME/MKE/MPENZI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.