lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,210
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nilivokuwa A level hostel niliyokuwa nakaa kulikuwa na RIVALRY baina ya shule hii na shule ile. Mzizimo had the cruel boys of all. Sasa ikawa mnatakiwa kutembea vikundi vikundi. Ukidhubutu kukutwa na bwana pepsi peke yako unalooo. Although they were kids walikuwa na roho mbaya mnoooooo. Wakasababisha hadi watu wengine wakahama hostel. Na ugomvi ulianzia shule zote walikuwa hawawataki watoto wa Mzizimo manake walimla binti mmoja wa Zanaka kiboga afu wakamtangaza. Hahahahaaaaaa! (It is not a laughing matter and i am ashamed of myself) Hata wavulana wa Tambazo nao walikuwa na tabia hiyo, sio kidogo angalau wao walimla mtu mande tu, bikra yake ya Tigo wakamuachia. Watoto wadogo hapo teenagers. Imagine binti yako umempeleka hostel hapo afu ndo analiwa mande au Tigo! Watu wabaya sanaaa. Na hata mkiwa kikundi bado mnawaogopa vilevile, mkisikia Mzizimo hao afu wale black ndo walikuwa nomaaa, unakimbiaa, au unaingia dukani, saluni, kokote kuokoa nafsi yako, borahata wale gabachori, au warabu wa kariakoo walikuwa na dini kidogo. Watu wakanza kutoka na watu wa Loyola, Makongo, Shebby na shule zingine ila sio Tambazo, Aza Boys na Mzizimo. Sasa katika hao black wa Mzizimo (Hivi ile sheria ya cyber crime haijasainiwa bado au?) kulikuwa na kundi la wavulana kama sita wanapita nia yetu, lazima tukutane mara kibao.
Mara ya kwanza nilikuwa na mashoga zangu wakatukuta kwenye chips, weeeeeee, wacha watudhalilish. Look at that one, she is so ugly, this one is so shabby, this is too weak, she must be sick, sasa kuna mmoja alikuwa na kovu maskini alifanyiwa operation kichwani wakamchekaa mpaka wanachuchumaa, akaanza kulia maskini wa Mungu, sasa kulikuwa na mjamaica wangu mmoja akataka afanye kitu nikamzuia, tuliaaaa. Basi wakatupiga masingi, tukana sanaa, make fun of us hatari, wakachukua chips zetu, wakamlipa muuzaji wakaishia. Mmmmmh! Si tukasubiri chips. Kulikuwa na watu wazima, they did nothing, wanangalia tu, baadae wanajikosha wanafunzi bwanaaaa! We did nothing, tukasamehe tukasahau.
Bwana weee, siku hio niko peke yangu nikawaona The 5 wanakuja upande wangu, tobaa tobaaaaa, Yarabi tobaaa. Chupi ilinibanaaa. Hakuna bar, hakuna duka, migeti tuuu. Nikataka kurudi nyuma nikimbie, nikaona if i chicken out kwa kukimbia wakinipataa watanidhalilisha zaidi, bora nijikaze tu kujifanya brave huku chupi imenibanaaa kuendlea as if i am unbothered like siwaogopi, nimekaza suraaa. Ile nakaribi wakawa wana nongonezanaaa. Mkojo unagonga chupi, chozi liko mlangoni hapo sijawafikia, hakuna anaetokea barabarani. Nikakaza roho nikaendelea. Kuwafikia as predicted they were mean, rude and extremely nasty. Ila nikajiapiza silii nawaangalia machoni all the time. Natembea wananizonga zonga, his father is so pooor she has to walk from school utafikiri wenyewe walikuwa kwenye gari vile. What is her name, wakanipora hand bag, wnasoma jina langu kwenye daftari, waachekaaa,Who calls there kids that name, anyway? It is so 1940S, sijui nini. Ooooh she is studies Mathematics, what is caluculas? What? She doesnt know. Hahahahaaaaaa! Mi nawaangalia tu machoni, na kuwashika sura, zao. Sijaongea kitu, afu angalia yenyewe ya kibui. Basi vitu vyangu wakavirusha rusha njia nzima, bag wakalirusha kule, Nikasikia she ha nice tits! Tobaaaa! Nikasema leo ndo wananinawa na midole leooo, sio mchezo, nikasema hapa nakufa na mmoja akizimia wengine watakimbia, ataenisogelea korodani zake, halali yangu, nitaziminyuaaaa mpaka vilivyo ndani vitoke nje. Uso wa mbuzi sitetereki, yule kinara wao ndo akawa ananisogelea sasa, nikasem huyu huyu ndo atanijua mimi nani. Kama Mungu tuikasimama gari akashuka mkaka mwarabu kuna nini hapa, mbona mmemtupia huyu binti vitu vyake. Basi wanadakia hamna kitu kaka, hamnaa, nikasema WAONGOOO, WANATAKA KUNIBAKAAA! Wacha wakimbiee! Daaaaah! Akanisubiri pale nikaokota vitu vyangu akaniambia twende nikupeleke. Nikafika akaondoka! Niliwazaa, nikawazaaa! Nikataka nirudi home.
Nikamwambia mjamaica eeh mi nahama hostel nataka nirudi home, nimeshindwa. Akaniuliza kwani vipi, nikamwambia leo nimekutwa bwana na Bw. Pepsi.Akastuaaaa! Ulikuwa peke yako! Nikamwambia ndio, akawa anachekaaa huku anasikitika. Nikamsimulia. Akaniambia bahati mbaya, we wasmehe tu wale hawajui walitendalo, sahau. Mjinga dawa yake kumsamehe. Mmmmh! Nikamwambia nyie mpaka tuzikemtu hapa ndo mchukue hatua. Lets declare a full war. Kikakaa kikako, ikakataliwa vita, ikakubaliwa wasamehewe, kuepusha shari. Mxiuuuuu! Nikamwambia mjamaica mi sisamehi, nimewashika sura iko siku yangu ama zao ama zangu. Akasema hata siku ile walivocheka kovu la flani roho iliniuma kichizi, anyway we samehe tu, with time you will find it in your heart to forgive them. Nikamwambia maybe.
Wiki hilohilo kuna mdada nae A level alienda gheto la Mzizimo, nae nasoma Mzizimo, sasa wamepiga mechi ule mchana akalaa, chiu, mwanuuuuuuu, kamwanulieeeeeee ile kupunga upepo na uchovu wa mechi na nini. Weeeeeeee! Hana hili wala lile ile anastukaaa saa 12 anakuta wavulana kibaooo wa shuleni kwao wana discuss hapo pembeni, full kupia kusoleve! Chumba hiko hiko, yeye kajimanua kitandani, mezani watu kama 10 wa shuleni kwao wanasolve vikundi 2, yaani kundi wa 5. Ikumbukwe yuko mwanuu, na wadada tunavolala kwa kujimanuaaa sasa! Usipate picha fumba macho. Afu shule mojaaa. Duuuuu! Akajizoa zoa akavaa zake nguo ndo kurudi hostel, akaja room yetu na Mjamaica, kuingia kalia weeeeeeee. Tukajua kafiwaa. Kutuelezea! Mjamaica kasema this is enough. Tukamwambia tu ishu hii aiminyie pale ndani asimwambiemtu yeyote, na kesho shule aende kama kawaida na asilie. Kwani walivokiona walikichukuaaa? Si washaona vya mademu wao kina ajabu gani? Na huyo bwana ampotezee. Nae akambiwa asamehe asahau. Mi nikamwambia kwa kosa hilo akisamehe yeye lafa! Kama akitaka kuna revange za kutosha. Afikrie kwnza coz revange needs balls and tough will power. Akaenda shule, the first week was terrible the rest zikawa za kawaida ila ndo alisha commit SOCIAL SUICIDE.
Siku hio Hamad tunatoka kwenye chipsi nikamkuta mmoja wa offenders wangu yuko peke yake, si tuko wa tano. Nikawaambia we are taking this MF down! Wakaanza kuback out, saabu kibao, nikawaambia i will take him down alone but you should be ashamed wanawake wa 5 mnamuogopa kavula kamoja? We can take him down, there is no way akatu over power wa 5. Mjamaica aksema im in, kwa walichomfanyia yule dada wa mzizima it is about time we do something, and we do it now. Akawa kashakaribia tukamzunguka, nikamuuliza unanikumbuka? Akaanza kulia dume zimaaa! Hahahaaa! It was not me, nilijaribu to talk them on not attacking you hawakunisikia. Really dont do anything to me! Tukamtia misingi, basi mmoja akatia he has a small di.ck and tiny balls to complement them! Hahahaaaaaaa! Tulimchekaaa! Kama kawaida begi nikalitia mtaroni zimazima na kulizamisha na mjiti. Akakogeshwa michanga ya kutosha, ali panic, Akaanza kulia huyooo kwa mayowee, watu wakaja nyie mwacheni mwenzenu. Tukaishia. Basi asubuhi wogaa umetukaa, tukahisi Mzizimo watazika mtu hai. Kumbe dogo hakusema bwana. Aliona noma.
Siku ingine Jackys nikamuona wa 2 nikamwambia Mjamaica umemuona 1 of the 5? Akanimbia wachaaaa! Nikamwambia we are taking him down tonight. Akaanza kuogopa, tuko wawili 2 tu, isije kuwa soo akatuzidi nguvu. Nikawambia tufikirie lakini we must take him down now. Tukanunua red wine, mhudumu ampelekee, tukawa tumempa mgongo, na ki meseji i wanna fu.ck your brains off tonight, dont come to our table now, we will leave together, enjoy a token of our long fuckship to happened. Akapokea, anatuona visgo akawaonesha wenzie, full kujishaua! Full kuchekelea free Pu.ssy Mxiuuu. Akainywa ile glass yote kwa mbwembwe. Tukaondoka tukampa mhudumu ki note tena ampe kinara wao kwenye group. Tukawa tunachungulia hatupo pale kwenye meza tena. We hope he enjoyed the wine seasoned with a little MP (Menstral period to be exact) blood to give it a lifetime taste. We hope it was delicious. Wasichana wa kwenye chips. Wenzie walichekaaaaaaaaaa! Mijicho ilimtokaaa! Alitapikaaaaa! Nyambaaaaaaffffffff.
Yule aliemuanika GF wake, the girl alishindwa kusamehe akaja kusema i hear you have taken down 2, i really need to take down that ass hole. Ana demu mwingine roho inaniuma sanaa. Nikamwambia wewe niachie mie hio kazi, nazusha una Gono, kakuambukiza Gono suguuu, ikifika hio habari shule he will never ever get pu.ssy ever again. We block his supplu of pu.ssy! Watu si wanaona what he did was cool! Then lets e how will they find Gonorrhea cooler! Kuna kadada ka Mzizimo tulikuwa tuasuko wote saluni weekend, sikasalimiagi wala nini, siku hio nikawa extra nice, nikakauliza story ya mtu kukutwa uchi ghetto, wacha kanisimulia na michumvi kibaoo. Nikamwambia sasa ambalo hajui alimuambukiza ghono, tena ghono suguu, sahivi anahangaika kujitibia maskini ana nuka. Nikamuonesha picha yetu na yule dada. Akaanza hapo hapo ku sms, whatsup ilikuwa haijaja. Jumatatu shule kila mkaka anamkimbia yule Tozi. Watu wana mdiscuss tu Demu kampigakibuti. Ndo hivo hakualikwa tena kwa watu, nani anataka gono choo chao cha nyumbani? Ikawa socially tushampotezaaa. Mpka anamaliza six ampate nani Mr. Gonorrhea. Hahahahahaaaaaa! PEOPLE ALWAYS BELIEVE WHAT THEY WANT TO BELIEVE.
Baada ya hapo watu wakapata nguvu sasa, ikawa haonewi mtu. Mkiwa wengi mkimkuta Mzizmo black mnamdundaa, awe anahusika au hausikii, just incase tu. Kuna wadada walisukuma mkaka wa mzizimo mtaroni maskini. Ikawa sasa mshike mshikendege tunduni. Mpaka kumaliza. Wale the 5 baada ya ishu ya MP wine waakcha kupita njia ya chips. Na wale wa 3 sikuwahi kuwaona tenaa mpaka jana. Sasa jana kama shetani tu, nilimsindikiza mtu mitaa flani huko, nikamuona yuko dukani na malapaaa. Nikamwambia subiri kwanzaaa, huyu hakai mbali. Tukamuona anaingia geti la jirani. Nikamuuliza muuza duka yule ndo anapokaa pale, akasma ndio. Mmmmmh! Okay! Sasa toka nimemuonanafikiria NIMFANYAJE MTU HUYU? NAOMBA WA YUDA MNIJIBU! Na nikimpata huyu, i can get the remaining 2 manake atakuwa anajua walipo. I could forgive him lakini THEY COMMITTED TOO MANY CRIMES, AGAINST TOO MANY PEOPLE AND THEY WERE NEVER MADE RESPONSIBLE FOR THEM! Besides it wouldnt be fair for the other 2 who paid the pirice. WOULD IT BE FAIR? Nooooo! I didnt think so tooo!
KUSAMEHE NA KUSAHAU SIO KUTATUA TATIZO.