mpenzi wa mdogo wangu hajapata hedhi kwa siku husika ambayo anasema ilikua iwe tarehe 21... mpaka leo tarehe 27 hajaona.....almost siku 6 maana wamekuja kunitembelea wako na wanafanya research...
Hello wadau,
Napenda nami kuja kwa mtindo wa swali, baada ya kujiunga na JF karibuni hapa. Ninauliza kwa mtindo huu miaka ya awali kidogo, kijana akiwa anafanya kazi mjini, akitaka kuoa anarudi...
Kuna hulka imejijenga kwa watu wengi lakini ukweli wa mambo haya sijaujua ni upi.
Eti"Mwanamke wa Tanga Pwani na Zanzibar ni mafundi kuliko wa kanda ya Ziwa,Nyanda za juu kusini {mbeya na...
Wandugu habari za leo,
Jamani mimi natafuta mwanamke umri kati ya 19-30 awe Muislam awe anajua maana ya maisha awe mpambanaji wa kutafuta maendeleo hata kama bado hajayafikia. Awe tayari kuingia...
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza maswali haya yafuatayo lakini hadi leo kichwa changu kinaniuma kwa kutopata majibu yake stahili na ya kiutaalam hivyo nikaona si vibaya nikawashirikisha na...
Guys jamani naombeni msaada,
Napenda sana kukiss yani, aka limi kwa limi kugusana sa sijui nifanyaje niepukane na hili tatizo.Nikiwa na mpenzi hadi nilikua namchosha maana ni kila wakati nilikua...
Habari wadau,
Jamani mke mmoja hatoshi kwani nahisi kuchepuka ila namuogopa Allah na nikitaka kuoa mke wangu mkali na hata wazee wangu sijui kama nitapata sapot.
Basi ushauri wenu wadau
Habari wanajamvi,
Nashangazwa na hawa wanawake walokosa aibu kusimama mbele ya kadamnasi bila haya eti tunataka usawa lol,usawa wenyewe eti prittywajoseph awe sawa na Joseph Mungu alimpa Adam...
Hasa wavulana lakini pia wasichana kabla hujaoa au hujaolewa epukana kabisa kufanya tendo la ndoa au punguzeni kabisa.Kwa sababu mfano kwa wavulana huingia katika ndoa wakiwa wakiwa wamechoka...
MADHARA YA ZINAA KISAYANSI
Wengi katika wanadamu wanajaribu kuhoji kwa nini Mwenyezi Mungu anakataza zinaa wakati kuingiliana baina ya mke na mume na kuingiliana baina ya hawara na hawara mambo...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
Baada ya Pac man kupigwa, niko ICU huku najiuguza, nakukabiliana na mideni ya kutoshaaa. Senior Boss...
Wanawake wenzangu naomba tumshauri huyu binti,
Ni mdada wa miaka 29 sasa alizaa na mwanaume walikua na ahadi ya kufunga mambo ya liingiliana lakini process zote tayari kasheshe inakuja wakati...
Habari za leo ndugu wana MMU wote,
Awali ya yote tumshukuru MUNGU aliyetuwezesha tuendelee kuishi hadi leo hii. Kama tunavyofahamu raha ya ndoa au mahusiano...
Vijana wengi wamekuwa wakikurupuka katika kuchagua mke atakaemfaa katika maisha, kwasababu wengi wenu mnapenda kuangalia kimo cha mbuzi yani usawa wa kiuno na kuvutiwa na vitu ambavyo havina...
Waungwana,
Hivi uzuri wa mtu au kitu upo kwenye kitu chenyewe au upo kwenye macho ya mpendaji? Maana unachokiona wewe kizuri,
mwingine anaona kibaya.Unachopenda mwingine hapendi.
Uzuri wa mtu au...
Habari za leo.
Katika maisha nimejifunza mengi baada ya kukutana na mengi, imefikia point naishia kusema "ninge" well hayo yameshapita na hope kuto walk thru those paths tena. Haya sasa I know Im...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.