Kama kuna uwezekano tunzeni nguvu hadi mkioana

Kama kuna uwezekano tunzeni nguvu hadi mkioana

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,485
Hasa wavulana lakini pia wasichana kabla hujaoa au hujaolewa epukana kabisa kufanya tendo la ndoa au punguzeni kabisa.Kwa sababu mfano kwa wavulana huingia katika ndoa wakiwa wakiwa wamechoka kabisa kutokana na kuwa walifanya mapenzi sana kabla ya kuoa.Matokeo yake ni kutokumpa raha ya kutosha mke wako,kutokumtoshelaza wakati yeye akiwa ndo kwanza mzuka wa kutiwa umepanda.Hii sizungumzii kwa siki moja bali nazungumzia kwa kila mara mtakapokua mkianza game,utakuta siku za mwanza za maisha yenu ya ndoa kwa vile mtakua huru na haki ya kula tunda basi bibie akikuhitaji wewe bro utakua uwezo umepingua badala ya kumpiga mkeo goli za kumtosheleza wewe unapiga kimoja tu huna ham tena na kumsababishia biti wa watu kuangalia njia mbadala.Inatakiwa unampa dozi mke wako hadi anakuona wewe ndo mwanaume pekee duniani.Nguvu zote ziishuie kwake,mkeo akufaidi na wewe umfaidi,mnafaidiana.Unamstareehesha mkeo hadi anajiona kama kapendelewa na Mola.Kosa tunalofanya tunatumia nguvu nyingi kabla ya kuoana kwa tendo la ndoa kwa wapenzi wetu ambao hatuji kuoana nao kwa kila aina ya staili,starehe,raha na bashasha kitandani halafu tunaishiwa nguvu,alafu tunakuja kupooza ndani ya mahusiano halali ya mke na mme.Najua huu ni ushauri mgumu.Kama mimi ningepata ushauri huu wakati nachipukia mke wangu angenifaidi zaidi ya sasa kwani enzi hizo niliona sifa sana kusifiwa kwa........na na warembo.
Naomba kutoa hoja.
 
Wanawake wa siku hizi nao hawana nguvu kabisa. Ukimfanya sana kwa muda mrefu anaumwa.
 
Back
Top Bottom