Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Mko poa pande hizo? Hivi ikiwa unamtongoza manzi kwa muda mrefu then anakujibu ''i dont feel the same way'' huwa anamaanisha my work done ni zero au ndio sitaki nataka na nini kifanyike...
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Hodi wana MMU, Kuna kanuni moja ya mapenzi ambayo watu wengi wanashindwa kuielewa.Mara nyingi, au mara zote, mwanaume huwa wa kwanza kumpenda mwanamke, Kupenda huku kunaambatana na tamaa ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanawake wenye sura kama hiyo hapo juu wengikimaumbile ni wazuri kiasi na wana mvuto wa kike na hasa kama wanajiweka katikahali yao ya asili. Wanapoingia kwenye kujivuruga kwa madawa, mikorogo...
4 Reactions
31 Replies
7K Views
Nauliza hivi unapogundua mchepuko wako una mwenza ambae ni mkali zaidi yako.Eti utawaza nini kichwani mwako? Naomba kujua hili.
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Hi JF, Iam edwin 26.5 yrs i belong to Jesus and Sabath keeper, not educated much but high.. not employd. am tall, medium thin, midium blak, SEARCHING for serious generic woman medium size under...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
I am a girl of 24 years old. I am looking for serious relationship. If interested, PM me.. I will respond as soon as possible.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari zenu, Swali langu ni kuhusu wanawake wa Tanzania wanaoolewa na wanaume wa nje (hasa Wahindi) kuna kua na mtazamo gani toka kwa watu wengine na hata kwa binti mwenyewe aliyeoolewa? Sababu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Muelezee Lara 1. japo kwa ufipi tu 1. Katika akili yako, unafikiria yukoje? 2. Mazingira anayoishi? 3. Je ni mtu wa namna gani kama angekuwa mnafanya naye kazi, unaishi naye nyumba moja...
7 Reactions
328 Replies
33K Views
Habari zenu, Naamini ni wazima ndugu zangu wana JF. Ni hivi inakuaje mtu unapomuona mpenzi wako wa zamani ambae mlipendana sana ila mkaja kuachana kwanini kamoyo uwa kana shtuka sana? Na kuna...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
KIJANA mmoja mtanashati, aliyefahamika kwa jina la Faraja Adam mkazi wa Makongo jijini Dar es Salaam, hivi karibuni alinusurika kipigo kutoka kwa wakazi wa Mabibo Jeshini baada ya kukutwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Watu wanabishana sana, wengine wanasema wanawake hawawezi kwenda mda mrefu, wengine hudai wanaume wengi huacha wanawake njiani. Mimi naamini wanawake 97% hawawezi safari ndefu kwa sababu ya...
1 Reactions
51 Replies
14K Views
Salaam kwenu, Naomba nisaidiwe hili, hivi ni kweli uwepo wa mvua kipindi cha usiku mida ya kulala kunaongeza mahaba na hamu ya kufanya mapenzi kwa walio ndani ya mahusiano wanaoishi pamoja...
0 Reactions
28 Replies
13K Views
Mi ni boy wa miaka 25 kutoka Arusha natafuta mpenzi wa kike aliyenizidi umri kutoka sehemu mbalimbali but Arusha is recommended.Kigezo kikubwa ni kua msichana huyo umri wake uwe umeanzia miaka 27...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika vitu ambavyo navichukia na naviepuka kwa udi na uvumba ni Kupenda, binafsi sioni faida yake zaidi ya karaha na mateso.
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Mwanaume ukiona unaitwa majina haya jitafakari. Kipanga, mwingi, fataki, baba fanuel, kicheche, mkali, fagio, hatari. Mdau hebu ongeza mengine yanayoendana na hayo tuone yanafika mangapi. Tuje...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Business business business business business......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo padri wenu Mtarajiwa napenda kuwapa kwa kifupi kabisa MALENGO YA KUINGIA KATIKA TAASISI YA NDOA 1. Kwa manufaa ya wanandoa wenyewe. Kumbukeni mnapoingia katika mahusiano ni kwa madhumuni ya...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu hamjambo, Nina rafiki tulieshibana kwa muda mrefu sasa, huyu jamaa yupo very successful in life, amejijenga, ana nyumba zaidi ya nne hapa mjini, na miradi chungu nzima Huyu jamaa amekua na...
4 Reactions
148 Replies
25K Views
Habari zenu wa jf na MMU wenzangu?? Natumai nyote mko poa na harakati za hapa na pale naombeni tujadili hili swala la wanawake wengi ambalo linaweza kusababisha mapenzi kuvunjika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!! Juzi hapa nimekaa zangu sina hili wala lile, ikaingia meseji Guess who is back in town? Nikasema ulikisikia dili...
8 Reactions
39 Replies
7K Views
Back
Top Bottom