Tatizo la kupenda kukiss/kubusu

Tatizo la kupenda kukiss/kubusu

boobookitty

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
255
Reaction score
174
Guys jamani naombeni msaada,

Napenda sana kukiss yani, aka limi kwa limi kugusana sa sijui nifanyaje niepukane na hili tatizo.Nikiwa na mpenzi hadi nilikua namchosha maana ni kila wakati nilikua nataka mpaka akaniacha.Yaani natamani mpaka imekua kero hali hii inanikwaza. Sijui ni mimi tu au na wenzangu wapo wenye hili tatizo.

**Mawazo tafadhali��**
 
Ooooooooouuuhh wat a gorgeous behaviour..! Alikuacha kwa reasons au from no where.! Sio jambo baya but linatakiwa lifanywe kukzingatiwa usafi wa vinywa.!
 
ushauri uwe unapiga mswaki mara kwa mara ili usitengeneze sumu zinazotokana na lipstick za hawa akina dada
 
Mtafute boyfrnd wa kizungu mtaendana huyo humuwez.
 
Unajua ku Kiss au unapenda tuu? huyo alokuwacha ulikua humtafuni lakini?
 
Kama unapenda kubusiana kila mara kwa nini akuache? Au unabusiana meno nje, mimate inadondoka hovyo tu, eeewww... Tafuta anayepnda kubusiana kila saa kila mahali, wakati na popote mtaendana. Alafu acha kucheza na akili za watu.
 
ushauri uwe unapiga mswaki mara kwa mara ili usitengeneze sumu zinazotokana na lipstick za hawa akina dada
Anunue. argumentine pia ikae sby ukiumwa. fungus

Usiogoope
 
boobookitty

Binafsi nakushauri ujilazimishe tu kuacha, kumbuka mdomo na ulimi wa mwenzio si wako, sidhani kama ni busara ukae unakiss tuuuuu, labda kama unajikiss mwenyewe, kama utampata anayependa hiyo ishu basi haina shida mtakiss hadi mwisho wenu,

lakini tofauti na hapo kubali tu kwamba ni lazima upunguze hiyo kitu, usimfanye mpenzi au mume wako awe bored. Endelea kutafuta ushauri kwa wataalamu watakwambia kama zipo steps za kufuata ili uache.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom