masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,360
- 19,162
asanteni sana
jamani nilishapostigi kitambo kidogo kwamba nahitaji mchumba nimeshampata namshukuru mungu na sio hivyo tu nahisi tutafika stage kubwa
KILICHOFANYA NIPOST NI KWAMBA MTU AKIKOMENT KATIKA ILE POST YA ZAMANI ANAKUWA KAMA ANAI UPDATE NA WATU BILA KUCHEKI REPLY WANAKUJA INBOX KWA WINGI SANA KIASI KWAMBA NASHINDWA KUWAJIBU WOTE,nawashukuru kwa ushirikiano wenu but am happly in a wonderful relationship,i love my men an infact ninafurahia kuwa jf bila ugomvi hivyo sipendi uje inbox nikuambie nishapata alafu unaanza matusi si vyema,tubaki marafiki,
asante
Ukisikia am in a wonderful relationship ujue tunda lishaliwa, that is what makes a relationship wonderful, kwa walio wengi.Haya wamekusikia ila usigawe tunda mpaka mfunge ndoa ukigawa tu kwisha habari yako ..."......... uasherati usitajwe kwenu kamwe"
Haya wamekusikia ila usigawe tunda mpaka mfunge ndoa ukigawa tu kwisha habari yako ..."......... uasherati usitajwe kwenu kamwe"
report hiyo thread ulokua unatafuta mchumba ifungwe kama hutaki usumbufu.
Kila la kheri mpendwa wangu
Haya safi saner
Ukisikia am in a wonderful relationship ujue tunda lishaliwa, that is what makes a relationship wonderful, kwa walio wengi.
Ayaweee....mimi nilikuwa nataka nikutokee. Kwa hiyo nimechelewa?
Utakapomegwa na kupigwa kibuti urudi.
Kila la heri