Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama upo serious unahitaji mwanaume wa kukuoa ni PM tuongee. Masharti na vigezo vyako na vyangu vitazingatiwa kwenye maongezi ya PM.
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Habari, Mimi ni mwanaume natafuta mke wa kuoa umri 24mpk 31, awe hajawahi kuzaa wala kuolewa, awe mweupe mimi na miaka 30 elimu yangu ni kidato cha sita naishi Pwani. Karibu kama upo serious na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
This is a big problem to most men, nowdays and increase "michepuko". It is nonesense, how can the big waist or b.uttocks or shape can help the barrenes woman to concieve? Or to give birth?And how...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ukienda kwenye harusi nyingi utaona kila mtu na mkewe wamependeza na wakiwa wenye furaha huenda kuliko kawaida yao, wakila kunywa na kuongea kwa furaha inakuwa kama nao wamefanya harusi. Nashauri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Miezi kadhaa iliyopita wife alileta house girl mzuri ajabu na mwenye wowowo la kufa mtu. Binti huyu hushinda na kanga moja tu na nyonyo zimechongoka kama bolibo na akiinama kupiga deki...
2 Reactions
152 Replies
18K Views
Waheshimiwa habari zenu, Mke wangu huwa very violent kwa wasichana wa kazi hadi mimi hujisikia vibaya for the past two years tumeshabadilisha over 30 girls.Wengi hukimbia muda mfupi baada ya...
0 Reactions
54 Replies
10K Views
Viongozi husikeni na somo hapo juu. Rafiki yangu tulieshibana sana alipewa dawa na mchepuko wake akamuwekee mkewe kwenye chai au kinywaji chochote Alidanganywa na mchepuko huo kuwa dawa hiyo ni...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Aisee nimeamini kuwa uyaone, hili tukio linakinzana na ile tamaduni ya baadhi jamii za makabila ambazo zinaamini mke wake akiwa mjamzito ndio ànaenda mbali na nyumbani kwake kwa ajili ya shughuli...
5 Reactions
63 Replies
12K Views
Habarini wanaJf Is it true wanawake wenye miguu mipana aka chupa ya bia ni watamu kuliko wenye miguu membamba?.Naomba kujua kwani nimekuwa nikisikia eti wenye miguu ya chupa ya bia ni watamu...
3 Reactions
346 Replies
79K Views
SIMULIZI YA KWELI USIOLEWE SHANGAZI EPSODE YA KWANZA KIBOSHO MOSHI 2013 Joan binti wakichaga na mhitimu wa stashahada ya ualimu katika chuo cha ualimu Butimba akiwa nyumbani kwao na wazazi wake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wanaojitambua, umri 18-23.
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Wakuu, Mimi ni baba wa watoto wawili, ni mhasibu na ndoa yangu ina miaka saba. Mwaka 2007 mama yangu aliniletea mke kutoka nyumbani, ni binti wa mzee mmoja rafiki kipenzi wa baba yangu na ni...
4 Reactions
106 Replies
14K Views
Kwa wanaojitambua, umri 18-23.kama yupo aje pm.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi mkenya na nina miaka 21.Natafuta mpenzi kutoka tanzania hasàa katika jiji kùu.NB#SERIOUSLY~0721515749
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu, Kila mtu anafahamu jinsi wanawake wa kipemba wanavyopenda kujishughulisha na bihashara(japo ni ndogo ndogo) lakini sio sawa na wanawake ambao wanakaa bure tu wakisubiri...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Nachukia sana hii tabia kama umepata msichana na kumpenda mkawa pamoja basi ni wajibu wetu kuwahudumia kulingana na uwezo wako lakini utakuta mtu ana msichana au mke wake alivyo yeye na hadhi ya...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Wana jukwaa wenzangu habari ya majukumu, Naomba nipate mawazo na mtizamo wenu katika hili. Leo asubuhi na mapema nilipoamka nimekutana na ujumbe kutoka kwa rafiki wa kike akiomba kusikia...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 22, pia nipo chuo kikuu mwaka wa kwanza. Kuna dada ya shemeji yangu ambaye ameolewa ila katika kukua kwetu yaani utotoni wakati tulipokuwa shule ya msingi...
1 Reactions
84 Replies
13K Views
Iko hivi kubali kataa ©©©©©©©©© Msichana unakuta ��Nywele sio zake ��Kucha sio zake ��Matiti sio yake ��Makalio sio yake...
3 Reactions
27 Replies
9K Views
Natafuta rafiki wa kike alie tayari aje pm.
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Back
Top Bottom