Utungaji wa mimba

Utungaji wa mimba

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,397
Reaction score
19,323
mpenzi wa mdogo wangu hajapata hedhi kwa siku husika ambayo anasema ilikua iwe tarehe 21... mpaka leo tarehe 27 hajaona.....almost siku 6 maana wamekuja kunitembelea wako na wanafanya research hapa halmashauri.....na dogo hayupo.....kaenda vijijini kutafuta data.....binti anaogopa kwao ikabidi tu leo aniambie.....nmemwambia akanunue HPT(HOME PREGNANCY TEST)....kapima napo inaonyesha negative..... nimempigia rafiki yangu mmoja dokta akasema tusubiri wiki ingine mbele apime tena.........

SWALI ..JE HII NI HALI YA KAWAIDA KWA WANAWAKE KUKOSA HEDHI ZAIDI YA SIKU 5 TANGU SIKU ULIPOTAKIWA KUANZA!!! KAMA NDIO NI NINI VISABABISHI....
 
Subiri utunze mtoto atakae zaliwa na siyo kungangania kutoa mimba! majukumu si lele mama!!
 
Shemeji kazi imekupata...
 
Subiri utunze mtoto atakae zaliwa na siyo kungangania kutoa mimba! majukumu si lele mama!!

mimi ni braza tu..... maamuzi ya kutoa ni yao.... ila ndio bado vitoto hata chuo hawajamaliza..... 25 kwa 23..... hopefully ntalea ...ndio kaka mkubwa...... na anaishi kwangu
 
huwa inatokea kuvusha siku yes but ni mara chache sana
 
Ulikula Mali ya dogo siyo!

usiwahi kuhukumu........ binti anajua mimi ndio kila kitu mimi ndio baba mimi ndio mama kwa mdogo wangu..... tmuzaliwa wa3 mkubwa kafariki..baba kafariki...mama ni hajiwezi ni mbibi .... siwezi kufanya kitu kama hiyo....kwa mdogo angu
 
huwa inatokea kuvusha siku yes but ni mara chache sana

ok...... kavusha siku 6 ..... ndio hatari ilipo.... hapa tayari nna mtoto wake mwingine alizalisha binti akiwa mwaka wa kwanza......mimi wife wangu mjamzito ..... ndio naumiza kichwa ikiwa huyu binti nae sijui itakuwaje.....
 
kiruuuuu mdogo wako kiboko... ila stay calm tu anaweza akawa negative and pia u Better be ready for anything
 
Six Days Duuh..Embu Tusubiri Tuone Tena

mdau...hivi vitu vina kujipanga kuleta mtoto duniani si kitu ya kuchezea..... mi nimejipanga kwa mmoja wa mke wangu...maana wa dogo wa kwanza alininyonyoa pesa hatari.....NIKAMUONYA ASIKOSEE TENA.... mara linakuja hili hujajipanga nalo....kwa akili zake anaweza kutaka kutoa.... ni heri shem kaniambia ..nisingejua haki ya Mungu angetoa ...kama itakuwepo
 
Huwa inatokea mwanamke akibadilisha mazingira,mfano akihama mkoa,kile kipindi anaadapt mazingira hormones pia huwa zinafluctuate

Subirini one more week halafu apime tena
 
Hata mimi nahisi ni kubadilisha mazingira!!!
 
Huwa inatokea mwanamke akibadilisha mazingira,mfano akihama mkoa,kile kipindi anaadapt mazingira hormones pia huwa zinafluctuate

Subirini one more week halafu apime tena

possible coz wametoka mwanza kuja singida....wiki ya pili sasa.....
 
kama nijamzito kweli kipimo cha UPT kinasoma positive results ndani ya siku kumi na nne yangu Siku aliyoshika ujauzito, na hii ni wik mbili exactly tangu ovulation. Hivyo ilipaswa Siku aliyotarajia Sikh zake either azipate au kipimo kisome positive. kama hadi siku ya sita yuko negative atakuwa si mjamzito yawezekana ni sababu za kubadili mazingira .
 
Hapo katoto kapo njiani mkuu, mimba ya siku chache haiwi detected na UPT.
 
Huwa inataokea sana. Experience yangu wakati wote niliohama mazingira ilisita. Na hii mi mara zaidi ya sita. Sasa wakati wote huo mambo yalikuwa bado kwangu mimi ilkuwa furaha tu! sasa hyo binti kama test imeonyesha negative nadhani kabadili mazingira tu. Ni vema kwenda kuthibitisha hosptitali hivi vya kujipima labda mtu mwenye experience jubwa.
 
mpenzi wa mdogo wangu hajapata hedhi kwa siku husika ambayo anasema ilikua iwe tarehe 21... mpaka leo tarehe 27 hajaona.....almost siku 6 maana wamekuja kunitembelea wako na wanafanya research hapa halmashauri.....na dogo hayupo.....kaenda vijijini kutafuta data.....binti anaogopa kwao ikabidi tu leo aniambie.....nmemwambia akanunue HPT(HOME PREGNANCY TEST)....kapima napo inaonyesha negative..... nimempigia rafiki yangu mmoja dokta akasema tusubiri wiki ingine mbele apime tena.........

Mkuu mtoto wa nzi ni hali ya kawaida kabisa juzi tu hapa demu wangu alinipigia kuwa siku zake zimepitiliza nikamwambia asubiri ilipita wiki ndo akaona siku zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom