Kwanini wanawake wenye mafanikio wanajisikia sana?

Kwanini wanawake wenye mafanikio wanajisikia sana?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Nashangaa sana, sawa amesoma, kazi nzuri, gari ya kutembelea but why brag about it? why showing off? Huu ni udhaifu mkubwa ulionipelekea kuelewa kuwa mwanamke hasa wa karne hii anajitahidi kutaka kulingana na mwanaume. Tena afadhali mwenye mali za kutafuta mwenyewe ukute yule ambaye vyote ni vya kupewa.

Iwe ni mtaji wa biashara, gari au fedha za kuendesha maisha yake hapa mjini kwa tiketi ya urembo wake maana wanatumika sana hawa, basi utawaona hata wakiwa kwenye gari zao, jicho la dharau na kujIsikia! Why? Kwanini msirelax kama wanaume nina mali, nina gari, lakini najali mambo yangu, When I look at people I don't shout in my eyes "hey! look i have it made, you?"

Ni wazi kuwa mafanikio au nguvu ya kichumi ya wanawake wengi ni kwa sababu ya kick za wanaune, hawa viumbe peke yao hawajiwezi hivyo usimdharau mwanaume anayesukuma mkokoteni barabarani na kumwagia maji kwa tairi ya gari lako, he is in the winning race men race, feminism is weak. Kubali fact.

Kwahiyo ningeomba muendelee na harakati za kusaka haki sawa magazetini, lakini in the real world the nature define kuwa sisi ni vichwa na ni jukumu la kila mwanaume kuhudumia mwanamke wake japo uwezo wa kuhudumia unatofautiana hivyo usimdharau anayehudumia kidogo au asiyekuhudmia kwasababu either anahudumia mwingine serving you is our pride.

Ova
 
Hahaha umeongea kwa uchungu yamekukuta poleeee
Sio wote ila halafu tabia ya mtu hujui mpaka apate hela so juwa hilo
 
Poleeehh mkuu!!!! Tabia hizo ni wale wanawake ambao wamepatiwa bila kutafuta kwa jasho Lao..... Ndo mana ukiona wanawake wazuri mjini wanaoendesha magari ni wameongwa na ndio wanaojisikiaa,
 
Subiria kidogo wenyewe waje,wakisha paki magari yao waanze kukujibu maana najua saa hizi wako kwenye foleni.
 
Mleta mada ulichopost kina ukweli kabisa na ni tabia ya mabinti wengi sana,tena wengine hata ukiwa nao ktk mahusiano ikatokea ghafla akafanikiwa kupata kazi au kwa namna nyingine kiuchumi kwakweli akiendelea kukupenda shukuru Mungu wako.

Ila pia wanawake wapambanaji wenyewe wanaojua maisha hawana hayo mapozi japo ni wachache pia.
 
Mwanamke ili afanikiwe ni juhudi zake tu ndizo zinazohitajika and nothing else....
Hakuna mwanaume anayeweza kumfanya mwanamke akaendelea. Kama ulimuhonga gari ni lako sio lake na kuita ni maendeleo ni sawa na wale wanaokaa barabarani usiku ili wale.
Kuwa so proud na maendeleo ambayo mwanamke ameyaleta mwenyewe ni vema ila kujiona usababishwa na ushamba wa ivo vitu.
 
Sidhani, hulka ya mwanamke kuringaringa hasa kama humjui lakini ukifanya nao kazi wapo peace tu ,story za kuringa utazisikia kwa watu walio nje ya system
 

Attachments

  • 1432052846762.jpg
    1432052846762.jpg
    17.4 KB · Views: 557
Yani mwanaume unalalamika loh.. kufanikiwa ni kushikana mkono na kuvutana no matter what ni mwanaume au mwanamke .. we kalia kupiga domo utaisoma namba tu
 
Umeongea mulemule ndugu, kwa ufupi mwanamke sio kabisa na ndio maana hata afurukute vipi hatakaaje kufikia mwanaume hata chembe, ni bora wangejinyenyekeza na kutii kama ilivyo kawaida ya mwnadamu na viumbe vingine kuliko wanavyojipotezea muda kutafuta usawa.
 
Sidhani, hulka ya mwanamke kuringaringa hasa kama humjui lakini ukifanya nao kazi wapo peace tu ,story za kuringa utazisikia kwa watu walio nje ya system

Baadhi.ya wanaume wakitka kukuvutia kamba wakiona wanashindwa hutuambia.tunadharau kumbe wengine wala.... wengine tuna aibu hatuwez salimu au kuchat na mtu every time...
 
Copy haiwezi shinda original,wao ni copy yetu mkuu wasikusumbue.
 
Yani mwanaume unalalamika loh.. kufanikiwa ni kushikana mkono na kuvutana no matter what ni mwanaume au mwanamke .. we kalia kupiga domo utaisoma namba tu

Nilikuwa nasubiri kwa hamu comment yako kwny mada hii we mtoto...kwani amekalia kupiga domo au kasema ukweli? Labda Kama wewe huringi ringi

Wenzio wakishakuwa na Vitz kinachofuata ni miwani kubwa kama wale mabwana shamba wa zamani,Vimini na ufunguo umening'inia mkononi bila kusahau smartphone yake mkono mwingine masaa 24.

Halafu route za kwenda kwenye ATM,bank na supermarkets haziishi hata kama ana buku ya vocha kwny pochi,na akikuona njiani ni kujifanya hajakuona kabisa.
 
Back
Top Bottom