Kuna uwalakini katika uchepukaji

Kuna uwalakini katika uchepukaji

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Nadhani kuna tatizo mahali au ndio uhuru wenyewe, katika mada 10 zaidi ya nusu zinaelezea juu ya wanaume kulalamika kuhusiana na tabu, shida katika mahusiano kwa mfano juu ya michepuko.

Hivi inamaana wanawake hawachepuki? Au wao hawapati madhara ya kuchepuka? au wao ni smart sana katika uchepukaji. nadhani kama ni kweli yabidi familia ziwe zinaongozwa na wanawake mwanaume ukilia kijana/ mvulana afanye nini?

Je wanaume wote mnatongozwa na hiyo michepuko?
 
Kwani hao wanaume wanaolalamika wanachepuka na nani?
 
Tatizo wanaume wengi hatukaagi na kitu moyon hata kama mtu kafanya utombo jana usiku leo atakuja kuuweka hapa na anaomba ushaur bila hata chembe ya aibu kitu ambacho mwanamke hawezi dhubutu kabisa na kwa wanaume kutokukaa na vitu moyon inasidia sana hata kiafya kama uamin chunguza ndoa nyingi kati ya mwanaume na mwanamke nani anakuwa na afya kushinda mwingine....Achana na kusema vikao vya jion vya wanaume ndo vinasidia unadhan hata ulale na kushinda kwenye vikao ilihali moyo umejikunja kuna afya itakuja hapo?
 
Back
Top Bottom