Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

"Sijui walitumia gundi ya aina gani kumbandikia kucha mwanangu, mpaka sasa sielewi, mtoto mwenyewe ndiyo huyo huyo mmoja wa kike niliyekuwa nikimtegemea na ndiyo kwanza ndoa yake bado change...
4 Reactions
84 Replies
19K Views
Kipindi tunakutana tulikua tukiishi mikoa tofauti, kufahamiana kukazua usiku mmoja mrefu, kila mmoja akarudi alikotoka, baada ya mwezi nikasikia toka kwake anadai yu mjamzito, kipindi hicho sikua...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
WanaJF, Mimi mwaka 2009 nilimpata binti tukapendana badae kaniambia ana ujauzito. Mimi nikaamua kujitambulisha kwao na kutoa barua kwao, wakanijibu nitoe mahari. Kipindi nasubilia kupata hela ili...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni wanaume wajinga tu ambao katika dunia ya leo bado wanapoteza fedha, mali na muda kwa mtu anaitwa girl friend. Hakuna haja maana vyote unaweza kupata bila kuingia gharama kubwa na tena kwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu, Nimeombwa ushauri mchana wa leo nikakosa jibu la haraka, Lakini kwakujua kuna JF Where minds meet, ninayo heshima kulileta jambo hili kwenu (kwako). Ni hivi:- Rafiki yangu who is 40 yrs...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Utuuzima husemwa ni dawa, lakini muda mwingine huwa hautoshi inabidi kuomba msaada ama tiba mdadala.Hebu niambie utamshauri nini binti/mama anayekujia kutaka ushauri juu ya nani awe mume wake kati...
6 Reactions
64 Replies
10K Views
Kuna binti nilikuwa naye kwenye mahusiano ni mwaka sasa huyu binti nilifahimiana naye alipokuja ofisini akiwa kasahau password. Kufupisha stori tukawa kwenye mahusiano na kama kawaida nikaomba...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Saluti kwenu, Natafuta mpenzi wa kike from 18 yrs to 25yrs anayejtambua na kujheshmu awe Dar. Kwa mawasliano ni pm
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sijui nimuache? Daah we acha tu. Ni mdada ambaye tumeahidiana tuje kuwa mke na mume kwa hapo mbeleni. Ajabu ni leo nilipomuudhi kidogo basi akapaniki lakini baadae yakaisha. Ajabu ni pale...
0 Reactions
58 Replies
10K Views
Wakuu, Nimekutana na haya mafuta sehemu fulani nikabaki na maswali tu. Anayejua matumizi yake anisaidieplease
0 Reactions
83 Replies
34K Views
Hivi ni kweli unaweza kutana na mtu mtandaoni punde tu mkapendana na kuoana? Maana siku za karibuni watu wamekuwa wakisaka wachumba na wake. Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu wa Pwani wanawezana wenyewe kwa wenyewe ndoa zao, mtu wa bara utachemka tu.Ukanda wa Pwani kuanzia Tanga, Pwani, Dar, Lindi, Mtwara, Ruvuma na hata Morogoro pia ni walewale tu tabia, mila na...
1 Reactions
47 Replies
13K Views
Habari za usiku wanajamii, Mie ni kijana nilikaa kwa mda mrefu sana bila mpenzi wa kike, nimekuwa nikikidhi hamu kwa kununua malaya, miezi kadhaa nikatambua napoteza pesa zangu bure. Basi...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Wakuu, Me kiukweli ni mpenzi wa Music sana. Sasa nimegundua mpenzi wangu hajui kuyarudi maana kila akija gheto nikimwekea Music yeye ndo kwanza analala zake. Nifanyaje nimfanye nae aweze...
0 Reactions
78 Replies
9K Views
Kwa muda mrefu najiuliza hivu kwanini watu husema hivyo? Kuna ukweli gani katika hili? Na kwanini mwalimu awe kipofu? Kuna connection gani kati ya upofu wa mwalimu na mwanamke? Je asiye kipofu...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Naomba tushare kwa pamoja, tujifunze faida 5 za mke kutembea nje ya ndoa. 1.Atakuletea stail mpya. 2.Mapenzi yataongezeka ili kukuzuga. 3.Gharama na matumizi kama saluni mitoko vocha...
4 Reactions
84 Replies
18K Views
Jamani kuna hii kasumba ya wanaume wa mjini kuoa wanawake wa vijijini na kuwaacha wale wa mjini sijui wanatumia vigezo gani hapa kwa sababu mbona mjini kuna wasichana wazuri na warembo sana tena...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari kwenu, Haya ni maisha anayoishi rafiki mmoja, yeye na wife wake wote wanafanya kazi, lakini hiki siyo kigezo cha kuzembea.Yeye anafanya kazi jirani sana na nyumbani na mume anafanya kazi...
6 Reactions
149 Replies
18K Views
Nauliza je, unaweza kusali NOVENA kama mchumba aliekukataa/ kukuacha akakurudia? Naombeni jibu nimeamua nipige goti sasa.
0 Reactions
11 Replies
13K Views
Back
Top Bottom