Miaka 24 bado kinda unakimbilia kuoa. Chuo hujamaliza so hata financially I think utakuwa haupo stable kivile. Ndoa si ya kuikimbilia inahitaji commitment ya hali ya juu. Kula ujana kwanza. Ukianza maisha automatically mke utampata. Halafu kutafuta mke hapa jf si sahihi. Kwani huwaoni huko nje? Tafuta marafiki hapa jf na sio mke,wengine majini shauri lako.