kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,493
- 18,387
Wakuu,
Kuna habari zinaenea kwa kasi sana juu ya wanaume wa Rombo kushindwa kuwahudumia wake zao haswa kwenye tendo la ndoa, kitu kilicholazimu wakenya kuja kusaidia. Hili tatizo kwa Rombo si kubwa kama linavyozungumzwa kwenye Mitandao ya kijamii. Rombo watoto wadogo ni wengi kuliko hata wilaya ya Moshi vijijini, nimetizama kwasample ndogo tu ya watoto waliouhudhuria makanisani leo,
Kwa upande wa Rombo kuanzia Mashati hadi Mkuu kundi la watoto ni kubwa kulinganisha na wa kuanzia Mwika hadi Marangu kushuka mpaka Himo.Kukutana na mwanamke mjamzito (sokoni, makanisani na kwenye mikusanyiko mingine) maeneo ya Marangu, Mamba na Mwika ni nadra sana, maeneo ambayo pia watoto wa chini ya miaka 2 ni wachache sana.
Inawezekana ni kupanga uzazi au ni kuongezeka kwa elimu ndiyo maana watoto wanapungua au Wanaume wa maeneo husika hawafanyi wanachopaswa kufanya.Rombo wanasemwa tu! Tatizo la pombe si kwao tu, hata Moshi kuna tatizo kubwa hasa kwa vijana.Possibly miaka mitatu au minne ijayo tatizo la uzazi maeneo haya likawa complicated sana.
Vijana waliopo na wasiokuwepo kwenye ndoa watashindwa kuzaa na wengine hawataoa kabisa, shida itabakia kwa wadada ambao wengi sasa wanadate na watu wasio wa umri wao kabisa.Vijana wa Kilimanjaro Soon mtauingiza mkoa kwenye Ageing Population problems.
Wake up and do ur duties