Naomba kuwauliza wenye uzoefu, nategemea kufunga ndoa kwa kufanya harusi, lakini baba mkwe aliniomba kwamba harusi ifanyike kwao ili aweze kumfanyia binti yake sherehe. Sasa naomba kuuliza nikikubali nitakuwa nimeolewa au haina shida inawezekana tu, jamani niko njia panda.
Naombeni ushauri
Naombeni ushauri