Pete za silver

Pete za silver

ragin

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,391
Reaction score
9,388
Habarini ndugu zangu! Naomba kujuzwa maelezo mafupi juu ya hizi pete za silver wavaazo kina kaka na wababa wengi zina maanisha nini?
 
......swahiba wangu Dark City, na King'asti huwa na majibu muafaka na maswali kama haya....

Mie naamini ni urembo tu.
 
Last edited by a moderator:
Habarini ndugu zangu! Naomba kujuzwa maelezo mafupi juu ya hizi pete za silver wavaazo kina kaka na wababa wengi zina maanisha nini?

ni urembo kama cheni, bangili
 
Habarini ndugu zangu! Naomba kujuzwa maelezo mafupi juu ya hizi pete za silver wavaazo kina kaka na wababa wengi zina maanisha nini?

Hizo pete za silver zinatofautiana kutokana na kazi zake.... Ambapo kuna wengine wanavaa kama urembo na kuna zile kama za Sheikh Yahya zinatumika kufugia majini
 
Nasikia wanaume wa kiislamu baadhi ya madhehebu hawaruhusiwi kuvaa gold. Hii silver inawahusu sana.
 
Hizo pete za silver zinatofautiana kutokana na kazi zake.... Ambapo kuna wengine wanavaa kama urembo na kuna zile kama za Sheikh Yahya zinatumika kufugia majini

asante kwa hilo mkuu
 
......swahiba wangu Dark City, na King'asti huwa na majibu muafaka na maswali kama haya....

Mie naamini ni urembo tu.

Swahiba wangu wewe.....

Wengi wanaovaa hayo mapete mkubwa makubwa nadhani wanakuwa na imani za kishirikina, nyota, na upuuzi mwingine kama huo. Bahati mbaya, kuna viongozi wetu wengi tena wakubwa wanavaa madudu ya namna hiyo...

Anyway....haya maisha yana vituko!!
 
kwahyo mtu anavaa kama matatu mkono mmoja hachok?

Ndugu, hayo yana kazi maalumu ...

Ukifuatilia utakuta yana mchanganyiko na vito vingine...

Hukuwahi kumsikiliza Shekh Yahya akiongelea hayo makitu... na kinga sijui ya vitu gani??
 
duh! Ama kwel, walioko humu hawawez kutwambia watasoma na kupita tu.
 
Habarini ndugu zangu! Naomba kujuzwa maelezo mafupi juu ya hizi pete za silver wavaazo kina kaka na wababa wengi zina maanisha nini?
Inategemea Pete unayo vaa ina kazi gani ?kila pete ina kazi yake kuna pete za bahati kuna pete za uchawi kuna pete za kinga kuna pete za mapenzi inategemea wewe umezaliwa Tarehe gani? unahitaji pete ya aiana gani? Mkuu ukihitaji maelezo zaidi ya pete nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
mkuu sihitaji pete ila kumekuwa na jopo kubwa la watu kuwa na pete za hvyo adi vitoto miaka kumi na nane wanavyo sasa ni kama kero ndio maana yangu kutaka kujuzwa tu uwepo huu.
 
Back
Top Bottom