Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Habarini wakuu,
Husika na kichwa cha somo hapo juu. Well, katika maisha na shughuli zetu za kila siku huwa tunapitia (experiences) mambo na mitihani mingi sana hali ambazo wakati mwingine zinatuboresha, kutukomaza na kutufunza katika mchezo mzima wa maisha and interactions between different kinds of people.
But wakat mwingine experience hizi hizi zinaweza kua ni vidonda ndugu moyoni mwa mtu in a way vinajenga hasira/chuki ambazo wakati mwingine zinakuketea msukumo flan wa kufanya kitu kibaya kwa mtu aliyekusababishia such an experience at times even inaweza sababisha mtu kujidhuru mwenyewe.
My Case:
Ki ufupi, nakumbuka kwenye familia na ukoo wetu kulitokea hali flani ya mtafaruku iliyosababisha mtoto wa baba yangu mdogo (dada) kumtusi mama yangu mzazi matusi makubwa sana na kueneza maneno machafu ambayo yalimliza machozi sana mama yangu. Binafsi kama mtoto kile kitendo kumuona mzazi wangu akiumia sana kiliniumiza kupita kiasi.
In a way nikajiapia moyoni ntakuja mfanyia kitu kibaya sanaa yule mtoto wa baba yangu mdogo pamoja na kupatanishwa nae bado moyoni kuna kitu kizito mno, something i find very hard to let go, we dont talk unaenda mwaka wa 5 saa hivi, I dont associate myself in any family thing that has to do with her or her family na mengine mengi.
Sometimes hua najishangaa sana hii kitu imejijenga vipi moyoni mwangu something i feel like its trying to eat me alive. Ikafika wakati nikatamani nimuunguze na pasi yenye moto mkali just to calm my boiling blood ni visa vingi amevifanya in the past that i can't say in detail.
Naombeni mnishauri how do i overcome such a situation, so as i can have inner peace wit this person? Kama ulishapitia situation kama hiyo au kwa mtazamo tofauti uliwezaje jinasua?
Thanks in advance