Pigeni vibuti kiustrarabu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Hata kama mtu kakosea, au umepata kifaa kizuri zaidi, ni vizuri kuwa na ustarabu.

Huwezi kujua ya kesho, na huonyesha ni kiasi gani unajua mapenzi.

Unajua aslimia zaidi ya 90 wanajuTa maamuzi waliyofanya??

Wewe ambaye unatembea na kibuti moyoni ila hujakifikisha naomba rewind your decision,

Kumbuka kubuti kinaumiza na kinaleta maafa moyoni (disaster) .

jioni njema.
relationship-marriage-over-good-800x800.jpg
 
Kama umenitendea mabaya na kunitesa kwa nini nikupe kibuti kistaarabu mi ntakupa kadi ya harusi 2 tena ntahakikisha nimekuteka moyo ufikiri nipo kumbe ndo natoka,
 
Umenikumbusha mbali sana kuna mdada mmoja alikuwa na jamaa ake basi akawa anaona wanaume wengne wote mabwege,jamaa akamtokea akamchana live mwanaume auna mvuto then uwezi kunihudumia.jamaa alipomaliza chuo kapata kazi wakati uwo yule sister walishatemana na jamaa ake,jamaa akarudi tena kuomba penzi dada akaingia king baada ya muda dada akajakusikia jamaa keshalipia msichana mwingne mahari na yupo kwenye maandaliz ya harusi baada ya wiki yule dada alielekea ubungo bus terminal na sasa hivi yupo mwanza anasikilizia maumivu ya kibuti cha kimyakmya.vibuti rhaaa sana na inatakiwa uwe makini katika ihi tasnia uwe unausoma mchezo kwa nje kabla ujaingia mazma.unashambulia then unatulia
 
It takes two to tangle. Kama mtu ni mstaarabu kupunguza mawasiliano tu anaelewa unahitaji space. Ila kuna watu kama wana wazimu wallah,kukutokea tu anakua kama mwehu,siku ya kuachana sijui itakuwaje! Kha!
 
It takes two to tangle. Kama mtu ni mstaarabu kupunguza mawasiliano tu anaelewa unahitaji space. Ila kuna watu kama wana wazimu wallah,kukutokea tu anakua kama mwehu,siku ya kuachana sijui itakuwaje! Kha!
kama kibuti cha wema loh!
 
Naona vibuti vyote vina msg moja tu.nayo ni kuachana your relationship will never be the same.

By the way nimewakataa 2 sasa tena kistaarabu kabisa lakini wananiona kama mkosaji tu mimi,

IT IS IMPOSIBLE TO PLEASE EVERYONE,
 
kama mlivyo kutana kwa amani basi wachaneni kwa amani sio fujo vurugu kuchomana roho sidhani kama muungwana anafanya yote hayo,kumbuka kua kuna kipindi mlipenda kwakweli na huwezi jua kesho itakuwaje hata kama hamkua wapenzi basi hata marafiki wakusaidiana mawazo..
 
em fkri f unaenda mahal kuomba kaz alaf ndo unamkta yule ulyempga kbut ndo boss, je utajckiaje?
Maisha n mznguko, n bora kuachana kwa aman.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom