Blessed Son
Member
- Apr 23, 2015
- 34
- 23
Kuna binti ambae tunapendana sana na tumeahidiana kufunga ndoa, huyo binti ni ndugu wa baba mmoja na mme wa shangazi yangu, namaanisha shangazi yangu anamwita huyo msichana wifi.
Wazazi wetu wote wamekubali, bado huyo shangazi na mume wake tu, je inafaa sisi kuoana? Na vipi kama shangazi yangu na kaka yake huyo binti wakikataa mnanishauri nifanyeje?