flamini
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 595
- 790
Salaam wakuu?
Mimi kijana wenu miaka 23 nimejileta hapa kutafuta a life partner. Nilikua na mahusiano 4 years back na toka yavunjike sijajihusisha na mahusiano mengine sababu kua bize na masomo na michakato mengine ya maisha pamoja na kua heartbreaked.
Mi kijana mtanashati,mjasiriamali na msomi pia natafuta my partner awe mzuri na awe na yeye mjasiriamali na umri usizidi 28 maisha ya upweke na ya kigumu nimeyachoka na sababu mi ni mtumiaji wa Jf kwa muda mrefu nikaona sio vibaya nianzie hapa kutafuta naweza nikapata nachohitaji and am serious.