Hizi bra za kisasa za wasichana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi bra za kisasa za wasichana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, May 23, 2010.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  Duh,,,,,
  jamani hizi bra ,sijui sidiria za kisasa za wasichana zinababaisha mno.......

  I mean unakutana na msichana unamtazama kifuani unakuta saa sita kamili, matiti yamejaa jaa...
  Kimoyoyo unasema ntafaidi mimi....

  Siku ya siku uko na huyo msichana chumbani, unayavamiamatiti na kuanza kusalula hiyo bra sijui sidiria...
  Mara ghafla matiti yanadondoka chini pwaa....duh...kumbe ni sidiria za kichina hizi sijui.....

  Yaani.....ningeweza ningepiga marufuku hizo sidiria manake unaweza zuzuka na matiti ya msichana kumbe
  ni sidiria tu.....yaani.....
   
 2. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #2
  May 23, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha!Nicheke mie,uroho utakuua Boss..Sasa ukipiga marufuku utawapataje?utavutiwa na nini sasa na wewe wababaika na ngoma saa sita?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  Yaani bora ukute kandambili ujue moja........
   
 4. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mchina oyeeeeeeeeeeeeeee

  wenyewe wanaita 'wonder bra'...

  ukivaa lazima akina The boss wapoteze direction na kuanza kuwonder wonder
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  Nitafanya kampeni ya kuzipiga marufuku.......
   
 6. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Pole sana....ila kuna UKIMWI
   
 7. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #7
  May 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah! "Boss" umenifurahisha kweli...
  Wengi wanavaa hivyo ili waonekane "attractive", na pia ili kuvutia, the opposite sex... Na ndo maana na wewe ukiwaona unapagawa...
  Pole sana mzee!!!
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  May 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Lol...hata mimi nshawahi kuingia mkenge mara kibao.

  Unakutana na demu unaambiwa nyonyo hizo...zinadunda dunda tu...udenda unaanza kukutoka huku ukizipigia mahesabu ya jinsi ya namna utakavyozifaudu......unasema leo ndio leo....zitanikoma.

  Mkishaanza gemu unaanza kumchojoa item moja baada ya ingine ukifikia kwenye sidiria unaifungua... unaitoa......lol....vitu hivyo vinajidondokea kaa matawi ya mgomba yaliyojikaukia.

  Inaudhi sana aisee. Ni bora kujua moja tokea mwanzo kuliko kuangushwa katikati ya safari
   
 9. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa ina maana unataka tutembee barabarani hivyo hivyo na malapa yetu?
  WEWE ndiye unapaswa kujua,ukiona vile inawezekana hayo maziwa ni yake ama yamepigwa jeki...!
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  May 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Halafu siku hizi si sidiria tu.....kuna booty pads....kuna chupi hizo zinazofanya demu aonekane ana ****** mazuri ya mviringo mviringo. Siku hizi bana...kila demu mzuri lakini uzuri wa kununua. Si nywele, si nyonyo, si makalio, si ngozi...kheeeee...tunaelekea kuzimu
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  kabisa kabisa.....bora ukute kandambili ujue moja
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  hizo booty pads zikiingia bongo
  sipati picha........
  Itafikia wakati unaingia chumbani na mrembo
  mnaanza kugombana kwanza..............
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  HIZO BOOTY PADS ITAKUWA KILA MSICHANA YUPO HIVI
  NAONA.......


  [​IMG]
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  May 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ekzaktli!! Unyamwezini siku hizi kila demu ana matiti makubwa na makalio makubwa yaliyovingirika. Tena siku hizi kuna silicone booty injections...lol....unyamwezini ukienda kiwanja kujirusha wewe jirushe tu na wala usijidai kuomba namba za mademu maana yale mataa mataa ya rangi rangi na lile giza giza humfanya kila demu aonekane Halle Berry.....

  Mtu kama mimi ndio maana nimeamua kurudi kwetu Ikungulyabashashi...huku hakuna cha wonder bra wala babake booty injections....totoz zote ni organic.....na kila kitu bado au naturale...

  Kibaya zaidi siku kuna ma tranny ambao ni wazuri kushinda hata mademu wenyewe. Mtu unaweza ukawa unatoka na demu kumbe mwenzio ni transgender bana....zamani alikuwa njemba kaa wewe....hapa tumsalie mtume tu ikitokea hiyo....
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  May 23, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  mhhh...
  bongo hawa wachina hawa....
  utashangaa.
  na hili la bikira bandia pia,maana nimeshakutana
  na warembo kama watano sasa,wote wanasema ni mabikira
  na wanataka kuolewa kwanza,THINK ABOUT THAT........
   
 16. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Dah hawa wenzetu bwana yaani wanatudanganya kila kitu, kuanzia muonekano wa nje, viungo vyao vya mwili mpaka maneno. Wanatupanga kama mafungu wachache sana walio waaminifu wa kweli. Tatizo kubwa ni kutojiamini na kujikubali. Mtu hataki kukubali kuwa yeye ndiye ameumbwa hivyo na kuwa haiwezekani kuvutia watu wote.

  Yaani nywele wanatudanganya, nyuso zao wanatudanganya kwa mapambo yaliyopitiliza mpaka wengine hupoteza hadi uzuri na kuwa kama vinyago. Sasa huku kwa wazungu yaani dada zetu ni aibu tupu, mimi hujisikia vibaya sana kumwona mtoto mzuri wa kiafrica anahangaika na minywele bandia, amebeba kilo kadhaa za katani au manyoya kichwani eti kisa afanane kama mzungu, awe na nywele ndefu kama mzungu, inakera sana na kutia kinyaa.

  Wazungu nao ni waongo pia, wengine hupaka rangi nywele basi kero tupu, pia huvaa mavazi yao skin tight yenye rangi ya miili yao, sasa huonekana wako soft lakini ukimvua nguo ngozi iko tofauti kabisa na alivyoonekana kwanza.
   
 17. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #17
  May 23, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,832
  Likes Received: 20,847
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona zishaingia..............kuna maduka kibao yanauza
   
 18. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,832
  Likes Received: 20,847
  Trophy Points: 280
  cheki humo mkuu

  KARIBUNI DUKA LIPO KATI SINZA MORI NA MAPAMBANO LINATAZAMANA NA GBP PETROL STATIONS
  KUONA BIDHAA ZAIDI INGIA
  HUMU


  [​IMG]

  INAVYOONEKANA KWA NYUMA....INA ****** NA MAHIPS

  [​IMG]

  WALA USIHOFU...NI KAMA SPONCH YA SIDIRIAA...HAKUNA AWEZAYE STUKIA LABDA UMWAMBIE

  [​IMG]

  MAHIPSI KAMA YANAVYOONEKANA....RANGI ZIKO NYEUSI NA CREAM SIZE L.XL.XXL
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  May 23, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  Mhhhh..........
   
 20. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160

  Bosi hujatulia. Oa ukae na wako unayejua yukoje sio kusubiria kufungua gift paper kila siku hujui ndani kuna zawadi gani. Mkuu praktiko zitakuua, kama sio presha basi mdudu!!! Mahips kibao bongo feki ndio maana kila mwanamke mzuri,shauri yenu mnaoingia mkenge.
   
Loading...