Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke yeyote ambaye hana uwezo wa kupata mtoto yaani tasa umri miaka 30 mpaka 39, tuwasiliane awe na umbile kubwa na la kupendeza e-maill Ahmed_samwel@yahoo.com
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanajamvi poleni na majukumu, Jambo hili lilinipa utata baada ya kuona mji fulani mme na mke wanagombana kisa mke jana hakumpa mme wake maji ya kuoga. Swali langu, Je kuna ulazma mke ampe maji...
0 Reactions
87 Replies
14K Views
Wanawake wengine wana lawama wakisikia mume wake amecheat watapiga kelele atamsuta! "umekosa nini mwanaume huridhiki" "mabucha yote nyama ile ile" Kwani mi sikupi? Si nakuuliza wewe hasidi fisadi...
6 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari ndugu, poleni na mihangaiko, Story iko hivi, hivi kuna binti ambaye tulikua katika mahusiano kama miezi kumi iliyopita i mean tulianzana mwezi wa nne na baada ya muda kwenda mpaka mwezi wa...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
No man loves it when a woman nags, no man would commit to a woman who nags. When he started loving her, when he married her, she was not a nag. How did she become so nagging? Below is a common...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna binti ambae tunafanya kazi pamoja na ambae nilimtoa outing siku moja, kinyume na matarajio akaniletea kundi la wasichana wenzie kunifilisi nami nika apply umafia wa hali juu kwa kuwakimbia na...
5 Reactions
53 Replies
7K Views
kila wakati utakuta watu wanajadili kwamba usiolewe/kuoa kabila fulani je kwa kufanya hivyo tunakuwa sahihi au tunakosea maana utakuta watu tumezaliwa 8 tumbo moja ila tabia tofauti iweje kabila...
0 Reactions
62 Replies
15K Views
Kuna ndugu yangu mmoja alikuja nyumbani kwetu kwa vile alikuwa na matatizo kidogo sasa yapata miaka miwili sasa tangu aje kwetu, tatizo ni kwamba nilishawahi kufanya nae mapenzi. Baada ya hapo...
0 Reactions
114 Replies
30K Views
Hii itawasaidia wale mnaoanza kutafuta wenzi wenu, ila ni ya Kiingereza humu wengi english mnaijua. jisomeeni wenyewe. Ask your date these three questions if you want to know whether they're...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Hi Jamiiforum, Mimi ni kijana na nafanya kazi international company moja hapa mjini Dar es salaam. Natafuta msichana anayejitambua wakubadilishana naye mawazo kama charting na jinsi ya...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habarini wadau, Naitafuta hii TV show, kwa yeyote mwenye nayo naomba mwongozo wa jinsi ya kuipata. Hata kwa kuinunua. Hususani kuanzia Season 5 na kuendelea. Natanguliza shukrani Mapendo TANMO
2 Reactions
77 Replies
6K Views
Mwanamke kumwita mwanamke mwenzake mpenzi, honey, dear, sweatheart, babe inachukuliwa sawa, tatizo kwanini wanaume wakiitana majina hayo wanaonekana kuna walakini (ushoga) ? Je wakina dada nao...
4 Reactions
98 Replies
11K Views
Habari, Nimekaa chini na kutafakari nimekosa jibu, hivi kwanini sisi wanaume ndo inaonekana tunaongoza kwa kulialia? Mara mke wangu kafanya hivi mara vile. Ndo kusema wanaume tu huumizwa na...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari ndugu wadau, Hebu tujaribu kulichekecha hili tuone kama ni wewe ungejibuje? Swali toka kwa mdogo wake mama mkwe kwangu baada ya kunitembelea nyumbani nikiwa na mke wangu lilikuwa hivi ''...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu, Nisiwachoshe sana, kwa kweli niwe muwazi katika simu yangu hii nime download Jf na what's up tu kutokana na uwezo wa simu sasa nimetamani sana niwe na msichichana mrembo humu...
2 Reactions
44 Replies
8K Views
Habari za jioni wana MMU, Huyu mwanamke nmemuudumia sana, amekula pesa zangu mwisho wa siku kaniacha hata penzi sijaonja. Kaniambia live kuwa hakuwahi kunipenda wala kufikiria so alikuwa...
0 Reactions
49 Replies
8K Views
Ni kawaida kwa mwanaume aliyekamilika kula vibuti. Vibuti vina staili tofauti, kuna kumwagwa na kumiminwa.Hiki ni kibuti ambacho sitakaa nikisahau, kwani nilipopewa haya maneno, sikuwa na moyo wa...
3 Reactions
222 Replies
23K Views
Habarini wakuu, Mimi nimekuwa msomaji wa thread zenu mnazokuwa mnazianzisha, pia nimekuwa nikielimishwa na wakati mwingine kuburudishwa.Ila kuna tabia ambayo imeanzishwa kwa baadhi ya member...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Kwa nini hili jukwaa kila siku linakuwa na new topic nyingi kuliko jukwaa zingine za JF. Au members weng humu JF wana stick sana kweye malavidavi nini,?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…