Sababu ya kuchepuka au kuoa mwingine

Sababu ya kuchepuka au kuoa mwingine

Peculiar

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
821
Reaction score
689
Wanawake wengine wana lawama wakisikia mume wake amecheat watapiga kelele atamsuta! "umekosa nini mwanaume huridhiki" "mabucha yote nyama ile ile" Kwani mi sikupi? Si nakuuliza wewe hasidi fisadi namba 1 wa mapenzi usiyetosheka .Kwani haikutoshi hii? Atatokwa povu hapo wakati in real hakuna annachofanya anachojua ni kubetua ile loki ya sidiria na kujilaza chanuu kusubiria mikwaju. Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka, kazi yote ufanye wewe.

Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe. Maana ukifika mlangoni unadakwa hata kabla hujavua viatu unafinywa si kufinywa, unameng'enywa na mchanganyiko wa meno na kucha unabaki unaweweseka kama kondoo aliyesahau mlango wa banda. Khanga ikianguka mtoto anashanga kama 76 za rangi tofautitofauti.

Anakubindulia mguu mmoja dirishani mwingine kwenye feni ukija kutua unasindikizwa na busu moja la sikio unaambiwa "Pole! Halafu unapewa juisi ya ukwaju baridi huku unakunwakunwa na kupepewapepewa ulale. Sasa wewe unayebetua sidiria na kutulia kama ndama mwenye mdondo akimaliza unamwambia "sogea huko tulale unanibana. Asipochepuka au kuoa mwingine labda ni mhashamu askofu mwanamizi wa kigango cha mavurunza!

������ Mi siimo!
 
@ForePlay huyo wa kwako na yeye ni mchepuko wa mwingine na huko yeye ana manjonjo ile mbaya. Kwa mchepuko yeye anachotaka ni pesa so lazima abembeleze ila.mkeo.anataka.mapenzi umkanue hasa so jitathmini vizuri
 
Hawezi chepuka nikiwa hai,labda nikifa. Nshamuweza zamani sana,ashaniwezaga zamani sana.
Ila kabla yake,mungu anisamehe asee!!!
 
teh teh teh shanga76 rangi tofauti tofauti.....napita tuuu
 
Mmh huyo mkeo huo uzembe on bed ameuanza sasa hivi? Hukujua kama ni gogo before? Huo mchepuko wako unajichetua kwa sababu tu unajua wewe sio wake, anataka akuteke tu ili umsahau mkeo. Trust me ukishauoa huo mchepuko na wenyewe utaanza tu uvivu. Ongea na mkeo, mwambie unavyokerwa na hiyo hali. Kuchepuka sio solution na hakuna excuse ya kuchepuka
 
FarePlay

Ahahahhahahahahaahh!!! Duuuuuh!
Ahahahahaahhahaahhah
 
Last edited by a moderator:
Kwani wanaochepuka wana label usoni! Unless wewe ni kigalula
Hebu tuichambue na kuitafakari ubetuaji wa locki na kudakwa kabla ya kuvua viatu !!! tutazame sababu za mapungufu yapo au sintofahamu ya kuthamini halali ya mhusika !!

FarePlay usiikane haki ya mwenza, na usidhulumu maskani, utarudi kulala hapo!!
@Mis.powers ugeni wako hautokwepeka uchokozi huu upo mila mtaa..... Heaven Sent itakuwaje kila kipya kifuate uvivu ?!!
 
Si Unajua kabla hamjaoana kunakuwa na some kind of competition. So mwanamke anajitahidi kuonyesha mautundu yote Ili awekwe ndani. Akishawekwa ndani si ashapata assurance ya kuwa yeye ndo number one, so hajistress sana. Na pia mkishaoana majukumu ya familia, kuzoeana, mara watoto, kujisahau etc vinaweza kusababisha mapenzi kupungua kidogo. Cha muhimu ni kuvunja tu ukimya na mwenza wako, mnakimbushana tu pale unapoona amejisahau

Michepuko inajitahidi zaidi since inajua yenyewe mijizi tu, so inacompete na wake zenu Ili ionekane yenyewe ndo bora, na iweze kuwachuna vizuri
 
Swadaqta Khaswa..!! hiyo umeiweka faswaha na kuvunja ukimya mwanaume "SEMA UKITAKACHO na uigharamie walau 50%" utapata zaidi ya nje !! (unazopeleka kwa michepuko siulete nyumbani kwako?)

Mwanaume kaa ujue una watoto wa damu na nyama yako, wanahitaji MALEZI,MATUNZO,HOME-WORK na majukumu hayo yapo mgongoni mwa MKEO (mama watoto wako) !!
mengine malizieni.........
FarePlay Geniustin
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom