How i met your mother

How i met your mother

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,210
Reaction score
13,049
Habarini wadau,

Naitafuta hii TV show, kwa yeyote mwenye nayo naomba mwongozo wa jinsi ya kuipata. Hata kwa kuinunua.
Hususani kuanzia Season 5 na kuendelea.

Natanguliza shukrani

Mapendo
TANMO
 
Na Mimi nimekuja mbiooo na kiti nimeburuza. Nusu ya popcorn zimemwagika njiani.
 
Na Mimi nimekuja mbiooo na kiti nimeburuza. Nusu ya popcorn zimemwagika njiani.

Na vile unapenda umbea sikupatii picha jinsi ulivyonuna saa hizi.
Pole sana mama..

BTW: Hii makitu hunaga?
 
ingia adder tv unaipata iyo season na uta download au utawatch online
 
ingia adder tv unaipata iyo season na uta download au utawatch online
Senks Mfagio. Ngoja nijaribu..
Wewe ni Mfagio wa chuma au wa Chelewa?

Sijambo< umenikimbizaje kuja kwenye uzi huu?

Nikajua unatapika nyongo hapa, kumbe muvi?!
Hivi hujaachaga tu umbeya?
Anyway, natarajia kutangaza nia. Sasa nataka kuchukua desa kwenye muvi.
Nitakie kila la heri.

Heshima kwako Mkuu.
Barkiwa sana.

Jaribu na hapa.lakini Ni kwa simu na sio pc
season 5
searon 6
season 7
season 8
season 9
Nakushukuru Kichuna wangu tetramelyz
Hivi hizo Tetramelyz ni zile dawa zilizotangazwa za kutibu nanihii?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom