Natafuta mke asiye na uwezo wa kuzaa

Natafuta mke asiye na uwezo wa kuzaa

Meddy masumbuko

Tumia lugha yenye staha! This is embarrassing! Unaweza ukamzaa mtoto akawa tasa , hilo neno hutalipenda
 
Last edited by a moderator:
Meddy masumbuko

mmhh...mkuu utakuwa na lako jambo....sio bure, tusubili mrejesho wako hapa jukwaani.
 
Last edited by a moderator:
Kazaa ovyoovyo timu ya watoto so now anatafuta tasa asiyezaa awalee nae!au nae ni tasa anatafta tasa mwenzie waliwazane.
 
unataka kumtoa kafara au?? anyway all the best kama ni kwa nia njema
 
Mi sijakuelewa.....ukizingatia mwaka huu si salama....kwa kila idara...
 
Bila shaka utakuwa mtangaza nia.

Maana huu ni wakati wenu.
 
Kuna vituko humu jamani khaaaaa!!!!!😂😂😂😂😂
 
mwaka wa uchaguzi huu! labda jamaa hazai so anataka mwenye tatizo kama lake ili wasisumbuane
 
Unamtaka wa nn???? Kuwa muwazi+weka malengo yako hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom