Mwanamke akikupenda haoni tabu kukuacha, msaada tafadhali

Mwanamke akikupenda haoni tabu kukuacha, msaada tafadhali

Abdulazizmomba

Senior Member
Joined
May 9, 2015
Posts
189
Reaction score
35
Habari ndugu, poleni na mihangaiko,

Story iko hivi, hivi kuna binti ambaye tulikua katika mahusiano kama miezi kumi iliyopita i mean tulianzana mwezi wa nne na baada ya muda kwenda mpaka mwezi wa kwanza, ambapo apa ndo binti alianza kuniletea mapichapicha mara tuachane oh! Mara ananambia me player mh! nakumbuka mwezi wa pili mwanzoni akanambia tuachane na ana mtu mwingine.

Sikuona soo nitakamjibu poa maana ilikua ni wimbo kwake na nikakata mawasiliano nae kila mtandao hadi kwenye social networks baada ya kimya kirefu kama miezi mitatu mbele akanipgia simu na kuanza kujiombesha msamaha mara turudiane eti alikua anafanya vile ila alikua amaanishi, daah alafu me now nishapata binti mwingine.

Mbali na hiyo now amekua akinsumbua sana kuwa ana matatizo na wazazi wake na ananiomba ushauri sana jinsi gani ya kumsaidia aweze kuelewana na wazazi wake si swala hilo tu na matatizo mengine kemkem yanayomface.

Hapa ndo npo njia panda
 
Amerudi kwa sababu ya matatizo na si kwa sababu anakupenda sana! Ukikubali kumrudia,hayo anayoyataja yatakuwa madogo!
 
Achana nae..Amerud kwako ili umsuluhishie matatzo yake.Mwambie ukweli kwamba humuhitaji na una mtu mwingine.
 
mimi na ---- lako nakupiga kibuti ukiniletea mapicha picha

Angalieni hivyo vibuti vyenu mtasababisha watu wajiue, unampiga mtu kibuti mfano anasafiri kwenda Tanga anaweza akajirusha mto wami.




A
 
Back
Top Bottom