Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF, Nimekuwa single kwa muda mrefu sana kama miezi 9 hivi, lakini hivi karibuni nilikutana na kijana na nikampenda sana baada ya kukaa nae kama wiki mbili tukiwasiliana aliomba aje...
2 Reactions
110 Replies
16K Views
Habari wana MMU, Ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi hapa ingawa ni msomaji mzuri sana wa mada mbali mbali za jukwaa hili kwa muda mrefu, leo naombeni na mimi mnishauri kwa haya yanayonitokea...
1 Reactions
101 Replies
16K Views
Naitaji marafiki wengii wakuchati na kubadilisha mawazoo in our network. Thanks
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nahisi kichwa sio kigumu kueleweka, awe binti au kijana nahisi atafaa sana. You're coldly welcome
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Mimi ni kijana Umri wa miaka 26 niko Mbeya, natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae,aliye tayari anitumie Pm.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Potezea uongo mwingi.
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Naitwa Yasha Moka, nahitaji msichana mwenye heshima na anipendae, niko mkoa wa Kigoma pia mimi nimuigizaji. My no0758036032
0 Reactions
16 Replies
2K Views
(CNN)Three players (Tom Hopper, Adam Smith and James Pearson) for English football club Leicester City, including the son of the club's manager, have been sacked after video surfaced of them...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeona tujadili kirafiki zaidi pia kwa kutambua experience mbalimbali za watu. Juzi katika pitapita zangu humu mitandaoni nikaona article moja kwamba UKIMWI wa miaka hii (kuanzia 2000) hauna...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Hi, Iam a man aged 30 yrs looking for a woman who will marry me aging 25-31 yrs,white in colour and natural not artificial. Her education at least a Diploma-Masters, emotionally woman you are...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Najua mmepumzika majumbani mwenu mkimalizia weekend, Hapa kwenye shirika letu kuna jamaa mmoja ambae anaishi na HIV kwa muda mrefu sasa, wote na mkewe wanahudhuria kliniki kwa zaidi ya miaka...
2 Reactions
97 Replies
17K Views
Wakuu, Mapenzi bwana acha tu, niimetongoza mademu kibao wengi wao wakiwa wazuri wa sura mana ndo ugonjwa wangu.Wapo waliokubali, waliopotezea bila kunijibu na walionikataa. Lakini katika...
0 Reactions
113 Replies
14K Views
Nimekuwa na mahusiano na dada mmoja kwa miaka minne. Ni msomi tu mzuri na mrembo. Amenifanya boya sana baada ya mimi kumpenda. Tukiwa kwenye mahusiano ya kuelekea kufunga ndoa kanidhalilisha sana...
2 Reactions
101 Replies
16K Views
Nimepata, nashukru jf
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Player to player, man to man, if there was a way of forcing you to marry the last chick you did the nasty with, how many of y'all would be happy to, and how many of us would rather go bungee...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF, Si mgeni sana hapa, nimesoma post na third nyingi pamoja na kejeli nyingi na kukatishwa tamaa wenye kutafuta wenzi lakini mi sijasita kutafuta bahati yangu. Ninahitaji la mwanamke wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahisi kichwa sio kigumu kueleweka, awe binti au kijana nahisi atafaa sana you're coldly welcome.
0 Reactions
0 Replies
927 Views
removed
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Mwanamke yeyote ambaye hana uwezo wa kupata mtoto yaani tasa umri miaka 30 mpaka 39, tuwasiliane awe na umbile kubwa na la kupendeza e-maill Ahmed_samwel@yahoo.com
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanajamvi poleni na majukumu, Jambo hili lilinipa utata baada ya kuona mji fulani mme na mke wanagombana kisa mke jana hakumpa mme wake maji ya kuoga. Swali langu, Je kuna ulazma mke ampe maji...
0 Reactions
87 Replies
14K Views
Back
Top Bottom