Kibuti ambacho hutakaa ukisahau! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tindikalikali, Aug 6, 2011.

1. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#1
Aug 6, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
Ni kawaida kwa mwanaume aliyekamilika kula vibuti. Vibuti vina staili tofauti, kuna kumwagwa na kumiminwa.Hiki ni kibuti ambacho sitakaa nikisahau, kwani nilipopewa haya maneno, sikuwa na moyo wa kuendelea, licha ya kumfatilia kwa miaka 5,

namnukuu "unajua dunia hii unaweza ukampenda sana mtu kama mpenzi, naye akakupenda kama rafiki? Tindikali kaa ukijua kuna watu walipenda sana, wakafiwa na wake zao, lakini walikuja kuoa na wakapenda tena na maisha yakaendelea, sembuse mimi usiyejua matamu na machungu yangu? Na isitoshe dini itakusumbua, naomba tubaki tu kama marafiki.....", nilimpenda sana huyu binti na bado nampenda, lakini cha kusikitisha alinipenda kama rafiki.

Je wewe una uzoefu gani na vibuti?

2. Kiranja Mkuu

Kiranja Mkuu JF-Expert Member

#2
Aug 6, 2011
Joined: Feb 18, 2010
Messages: 2,100
Likes Received: 17
Trophy Points: 0
dunia ya leo mwanamke akupige kibuti kwa kosa gani? Labda kama unaumwa ugonjwa wa kuanguka majukwaani

3. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#3
Aug 6, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 28,238
Likes Received: 3,676
Trophy Points: 280

Kweli siku hizi hakuna wa kukupiga kibuti,wote ni wa wote!!

4. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#4
Aug 6, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
Mh pana ukweli hapo? Basi kwangu inawezekana muda haujafika, mara nyingi ninapopenda toka moyon naambulia chaga...lol

5. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#5
Aug 6, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
Hiyo nayo kali, mkuu unataka kusema hujawah lambwa kibuti kabisa?

6. Tutor B

Tutor B JF-Expert Member

#6
Aug 6, 2011
Joined: Jun 11, 2011
Messages: 6,405
Likes Received: 2,111
Trophy Points: 280
Bora kibuti cha kuwekwa wazi - kibuti cha kimyakimya ni noma! Siwezi saau, ila nitajitahidi kusaau, nililipenda kumbe lenyewe lilikuwa kwenye research.

7. s

shalis JF-Expert Member

#7
Aug 6, 2011
Joined: Jun 30, 2011
Messages: 272
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
tutor b kwenye signature yako umekosea spelling hapo mwisho
ila ni ujumbe mzuri

back to the topic:mie sitosahau kuna BF wangu mmoja nilipmiga kibuti
baada ya 24hrs akawa na mwingine sikuamini , kumbe sikuwa peke yangu
nikajua kabisa kwamba ukiwa ktk mahusiano ni vyema kuwa na backorder kuepuka maumivu
hahhaha

8. KakaJambazi

KakaJambazi JF-Expert Member

#8
Aug 6, 2011
Joined: Jun 5, 2009
Messages: 15,030
Likes Received: 3,231
Trophy Points: 280
Mi kuna mmoja humu nampenda, kwa jina nahisi vile vile ni mzuri,,lakini naogopa kibuti.

9. Tutor B

Tutor B JF-Expert Member

#9
Aug 6, 2011
Joined: Jun 11, 2011
Messages: 6,405
Likes Received: 2,111
Trophy Points: 280
Ahsante kwa ushauri bibie

10. by default

by default JF-Expert Member

#10
Aug 6, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 843
Likes Received: 4
Trophy Points: 0

mh samtym cha kuambiwa kinauma ila mimi kunademu nilmpenda then akaja kuniambia yey anamtu tayari kama mwanaume lazima uwe kinganganizi kama kwel una nia.tatzo nayeye alionyesha dalil za kunichunguza mfano wa maswal yake kwanin unanipenda,wewe unaweza kubali mpenz wako akuache,ujawai kuwa na mpenz.mwanaume mwisho wa siku nikapigwa kibuti akaniambia SIKUPENDI NA SITAK MAWASILIANO NA WEWE KAMWE.yote haya niliambiwa face to face nikiwa nyumban kwao.nilkuwa nimemnunulia zawadi nikamkabidh akazipokea niliondoka lakn nilpofka mbal nikazma gari kama lisaa then nikapata nguvu nkaondoka.niliumia lakni nishasahau

11. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#11
Aug 6, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
Mh pole sana, huku kujipa moyo kwamba ipo siku atakubali kunaponza sana

12. Preta

Preta JF-Expert Member

#12
Aug 6, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,037
Trophy Points: 280
ha ha ha....mwenyewe ukajua umemkomesha....si ajabu ulikuwa unajaribu mwenzio akafanya kweli....

13. First Born

First Born JF-Expert Member

#13
Aug 6, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145

hahahahahahaaa!! Najua ulitamani kumrudia ila ndo ikawa hivyo kwamba mlango ulikuwa umefungwa.

14. Mpatanishi

Mpatanishi JF-Expert Member

#14
Aug 6, 2011
Joined: Jul 1, 2011
Messages: 1,709
Likes Received: 43
Trophy Points: 145
me naona demu akikuacha tu bila maelezo wala sababu hapo ndio inauma sana kuliko hata kama mngekua mmegombana hapo unajua kabisa sababu nini na inasaidia kupunguza machungu!

Bt hii ya kuachwa bila maelezo hasa kama demu umem feel inaleta tabu jaman.

15. mbasajohn

mbasajohn JF-Expert Member

#15
Aug 6, 2011
Joined: Mar 14, 2009
Messages: 248
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
kwakweli binafsi kibuti ambacho sitakisahau nilipewa juzi juzi tu hapa yaan miaka kama miwili iliyo pita, inshort nilikuwa na mpnzi ambaye tulikuwa pamoja kwa kipindi cha miaka mitatu mfulilizo. mwaka wa tatu karibu na anniversary yetu ndipo alipoanza kubadilika maana tulikuwa wote ni madent wa chuo lakin tukiwa vyuo mbalimbali, kitu kilichofanya nihsi mabadiliko yake ilikuwa ni kukosa kwa hamasa juu ya siku hii ambayo miaka ya nyuma ilikuwa na hamasa sana kwake. mpaka anniversary inaisha kwakweli hali haikuwa nzuri lakin kijana nilijaribu kumvumilia tu nikiamin may b n just misukosuko ya mapenzi ya kawaida kama wapenzi wengine. lakini siku moja nikiwa nasubiri kuingia lecture simu ngeni ilipiga na nilipopokea sauti moja ya kiume ilisikika na alichosema kijana huyu ni kwamba niache kumsumbua girl friend wake na anaomba niachane naye kwani muda wangu wa kuwa naye umefika ukomo. nilijikaza nikaongea na huyu dogo mpaka mwisho, nikasema siwezi gombana na mwanaume mwenzagu kisa demu, nikasema itabidi nimwulize mhusika ili anijuze vizuri. basi baada ya lecture nilimpigia huyu mpenzi wangu na nilipomuuliza kwanza alikataa na nilipombana alikili kuwa na uhusiano na mtu huyu. nilimmind na kukata simu. siku ya pili alipiga na nilipomwuliza kwann alifanya hivyo na nn msimamo wake. alinjb kuwa ilikuwa bahati mbaya lakin asingeweza kuachana na huyo bwana kwan angemwumiza sana na hakupenda kufanya hivyo na hivyo indirect alitangaza kuachana na mimi rasmi. hk ndo kibuti ambacho sitakisahau.

16. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#16
Aug 6, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
aaah umenikumbusha mbali, hapo lazima uangalie backorder cost, holding & ordering cost, mwisho wa siku inabidi uminimize Total cost.

17. Mkwaruzo

Mkwaruzo JF-Expert Member

#17
Aug 6, 2011
Joined: Feb 21, 2011
Messages: 566
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
na kwa njia hii ya kumpa majina mabaya huyo aliyekubuti, utasahau tu.

18. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#18
Aug 6, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
huu uwekezaji huu? Mi nilishapotezaga imani na hawa watu, mpaka leo naogopa kujicommit!

19. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#19
Aug 6, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Dah!!! I couldnt help not to laugh ........... pole Tutor B

20. tindikalikali

tindikalikali JF-Expert Member

#20
Aug 6, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 4,883
Likes Received: 96
Trophy Points: 135
hawezi akamkumbuka hata kidogo, "lenyewe"

Loading...