Msaada: Jinsi ya kupata mpenzi au mchumba JamiiForums

Msaada: Jinsi ya kupata mpenzi au mchumba JamiiForums

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
Wakuu heshima kwenu,

Nisiwachoshe sana, kwa kweli niwe muwazi katika simu yangu hii nime download Jf na what's up tu kutokana na uwezo wa simu sasa nimetamani sana niwe na msichichana mrembo humu ndani.

Ila zoezi limekuwa gumu sana maana ninaangali avatar ninaamua kujitosa pm na ninaimbisha vizuri tu siku tunaweka ahadi unakuta mtu tofauti na ninavyotamani.

Inabidi nitafute gia ya kuacha hayo mahusiano nisiyoyapenda hadi nafanikiwa ila huwa nabaki na maswali kwanini wanaweka picha nzuri wakati sio wao?

Wakuu nifanyeje nipate wa kutoka nae humu Jf hata kama kuoa niko na vigezo vyote
 
Weka majina yao hapa tuamini kama kweli uliwahi kutoka nao
 
kwanini usijiunge na chama letu la mabachela ,sisi hatuna mtu wa kutupangia muda wa kulala,,njoo MSA nikutafutie totoz
 
Siwezi kuweka majina ila sijalala hata na mmoja maana nakutana na vyombo tofauti na picture zao za avatar
 
Duh
Nenda baduuu wapo kibao ila ujiandae kutuma mpesa au tigo pesa
 
ukiona hivo we mwenyewe hulipi ndo maana unakutana na dizaini hiyo. unakutana na wa kufanana na wewe.
 
Kwa hii tu ningesema kitu ila basi tu embu nibakize chenji maana usikute mtu mwenyewe mmmhhhh!! Ila endelea kutafta hujachelewa
 
Weka vigezo vyako,avater achana nazo.Halafu wewe unapenda makuu,labda unataka malaika.
 
ukiona hivo we mwenyewe hulipi ndo maana unakutana na dizaini hiyo. unakutana na wa kufanana na wewe.

hii comment yako imenifanya niwaze maswali mengi mno nashindwa nianze kukuuliza lipi BTW mzima wewe. .!!
 
Back
Top Bottom