Chukua tahadhari unapojiunga na mitandao ya kijamii

Chukua tahadhari unapojiunga na mitandao ya kijamii

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
Chukua taadhali kuu unapojiunga, unapoombwa mwaliko wa urafiki nk kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook.

Kuna hili kundi la wenzetu watoto wa kitanzania ambao sio rizki katika facebook wanajiita TANZANIA PROUD GAYS

Kuna wengine awanajitambuliusha kama:Men club of Tanzania

http://www.facebook.com/groups/268399390959/

Log In | Facebook

Wangine wana Hii Blogu inaitwa TANZANIA GAYS NETWORK http://tzgays.blogspot.com/2011/04/wewe-ni-bottom.html?zx=61ff53f17db89791 hapo kuna uchafu mtupu!!

baadhi yao wanafahamika kabisa kwa biashara wanazofanya. Lakini wapo wale ambao huwezi amini, ukitembelea hapa unaweza baini, wakati fulani mtu anakutumia mwaliko wa kuwa rafiki na usipofuatilia taarifa zake kwa kina unaweza kujikuta ukichafuka kwa kuingia katika kundi la watu ambao kwa hadhi yako utajutia..watakutumia ujumbe hata kwenye inbox au email yako wakielezea mambo yao kwani watajua nawe ni mwenzao.

Epuka.....U- David Cameron upo nje nje sasa Tanzania...
 
Dunia imekwisha....!! eti Proud Gays....duh!!
 
hii mitandao itatuulia watoto!

Mkuu habari za Xmass
Nimesubiri lile vogue lako kule kwa TF mpaka nimechoka nimeamua kujitoa kwenye mkesha bana
Mkuu hili ni janga aise
Eti proudly gay laana tupu
 
It is indeed sad news..having to witness a smart guy who is not a straight man..eeeewwww!!


Yaani inaumiza moyo kwa kweli, halafu kibaya zaidi wengine wanajidai kuoa just for show huku wanaendelea na tabia zao chafu za kifirauni.........washenzi kweli
 
mkuu huwa wanatumia ID za kike.nilisha pokea friend request moja kukaa siku si nyingi nikatumiwa link kufungua tu nikakuta inapicha ya watu wanakameruniana. hapo hapo nilimdelete mara moja ni hatari sana.
 
Dunia sasa ipo ukingoni. Ushoga nao ni fahari,ni fahari kuwa shoga,ni fahari kuliwa kiboga na mwanaume mwenzio huku zake zikining'inia.hawa wanawala wenzao kiboga sijui nao wamekaaje,sijui kama minds zao ziko smat, ni vitu ambavyo haviingii akilini. Shame on them, nyambafu zao wate wala viboga na waliwa viboga.
 
tuendapo kuna hatari zaidi ya tutokapo Mungu tuepushe na Janga hili
 
yaniii asee...vijana wameamua kujia alalishaaaa.kamata pigaa risasiii wote shenzii
 
Back
Top Bottom