Mrejesho: Sidhani kama kuna ubaya, wakikumbushia je?

Mrejesho: Sidhani kama kuna ubaya, wakikumbushia je?

shikwashikwa

Senior Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
188
Reaction score
46
Habari za saa hii wana MMU,

Ni wiki sasa tangu nije na mkasa wangu kuomba ushauri hapa tujikumbushe."Nilienda nyumbani kwa wazazi wangu kuwapa taarifa ya kutaka kuoa kikao kikaitishwa familia ikakubaliana na ombi langu,lakini kunako harakati za kurudisha mpangilio wa viti nikaona picha (mke mtarajiwa) chumba cha dogo na nilipofanya mawasiliano na wote wawili walikili kugegedana huko nyuma.

Mada kamili:
Jana niliwaita wote nyumbani kwangu Dogo pamoja na mtarajiwa lakini nikataka kikao kiwe na nguvu kidogo nikawataka waje na watu wao wanaowaamini,mimi pia nilishawaandaa rafiki zangu wawili.Dogo alikuja na rafiki yake wa kike mtarajiwa alikuja na rafiki yake (nakili wazi nilipita kama miaka 2 iliyopita) .

Kikao kikafunguliwa na rafiki yangu (nakili mawazo yalishahama maana tayari mtuhumiwa namba moja ambae ndio aligegedwa na dogo kaja na rafiki yake niliemgegeda mimi miaka 2 iliyopita wakati nikiwa napiga kazi kampun moja ya kitalii)
Japo hatukuwa na serius relationship nae ki ukweli hakuwa mzuri sana kipindi kile tofauti na tulipokutana jana.

Ukapita utambulisho dogo alionyesha heshima ya juu sana na kuomba msamaa na kukili hana tena uhusiano na mchumba wangu mtarajiwa ndio maana alikuja na msichana na kumtambulisha kwetu kama kaka zake tumtambue kama mchumba wake. Akafuatia mlengwa muda wote alikuwa kimya huku akinitupia jicho la wizi akaanza na kutaja jina langu alafu akaniambiea huko Jf ulikoomba ushauri leo ndio unakuja kutoa maamuzi au?

(Siwafichi member nilikuwa mdogo kama pilitoni kumbe muhusika yumo humu humu)
Na kwa taarifa yako leo nimekuja kukwambia rasmi nakupenda lakini sitaweza kuendelea na wewe nina sababu mbili (mzee niko kimya hapo yeye tu ndio anaongea)

1~Najua umetembea na rafiki yangu japo kabla hatujawa na uhusiano hilo mimi sikujali.

2~Kwakuwa huniamini/hutaniamini ni bora nijiaminishe sasa kwa kuliua penzi langu kwako.

Asante naomba uniite dada nitakuita kaka kuanzia leo.

Jamaa wakanigeukia mimi ee bwana Shikwashikwa unasemaje kuhusu kauli ya mwezio nikaona isiwe tabu nikajibu kama yeye ameona bora kuachana mimi sina pingamizi. Kikao kikaishia hapo tukapeana mikono mambo yakaisha.

Shida iko hapa: Nyumbani nilishaweka kikao na nikaahidi mwezi ujao nawapelekea mkamwana (Mkwe) wao wamuone.
Huku tayari mambo yamefikia ukomo nimewaza nikafikiria nikapata jibu moja tu.

Niyafufue mahusiano yangu na rafiki wa alietaka kuwa mke wangu. Hatukuachana ilitokea tu kila mtu akawa hamtafuti mwezie siku, wiki, mwezi hatimae miaka leo asubuhi nimechati nae na kumkumbishia mambo mengi ya nyuma tumepanga tukutane jioni hotel fulani kwa ajili ya chakula cha usiku.

Ruksa kuniambia kama nakosea sitaki matusi

Ahsante naomba niwakilishe
 
hivi kumbe siku hizi kuoa ni kama mchezo wa kuigiza eeh!
 
aarrgghh toka hapa na ujinga wako
 
Duh, mtuhumu anapogeuka kuwa mtuhumiwa. Pole though
 
mbona unalia liaa sema kwan we unampenda yupi??
 
Ushauri Wangu ww endelea kushikwashikwa tu hadi ulegee
 
sasa kama yuko jf na anaiona hii thread si unataka kuleta bifu kwa hao wanawake? Au ndo namna ya kumtisha ili atengue uamuzi wake wa kukumwaga?
 
Kwa sasa sina nimpendae mkuu..ila huyu wa jana huyu naona kabsaaa moyo umeshaanza kupenda ila akili tu ndio bado haijawa tayari kwa maamuzi

achana na hiyo chain yote ya hao wadada mliotembea nao wewe na mdogo wako, tafuta mwanamke mwengine mpya kabisa ambae hana connection with your past
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom