Ndg wana Jf uzoefu wangu unaonesha kuwa watu wengi hutambua au kubaini upendo kupitia thamani, sehemu kubwa ya kundi hili ni lile lenye jinsia ya "KE" Hapa mtanikosoa lakini ndiyo mtazamo wangu na kautafiti kadogo niliko kafanya. Hapa namaanisha upendo wenye mahusiano ya kimapenzi, yaani jinsia tofauti. Kitendo cha kuweza kugaramia mfumo wa maisha ya mtoto wa kike kwake yeye anaona unafanya hayo kwa upendo na si kwa hitaji lingine.
Lakini Je! ikiwa dada/mama huyu kapima kiwango cha upendo wako kwa thamani, kwamba umemnunulia A,B,C atawezaje kupima kiwango cha upendo kwa mtu masikini? Hapa ndo zinaibuka zile luga za "No Money No Lave" Je! ikiwa ndivyo mapenzi si tungeliwaachia matajiri na mafisadi kwani ndiyo wanaoweza kugaramia!
Lakini lipo kundi jingine linalopima kiwango cha upendo ndani ya kinywa, wako watu wamejariwa kuongea vinywa vyao vimesheheni tamtam mdomoni, kama vile nakonda kwa mawazo, wewe ndiyo pekee ndani ya moyo wangu, natamani kukujulia hali walau kila mwisho wa saa kama si dakika, your only one in my heart na mengine mengi. Maneno haya yakimkuta mpangiliaji wa maneno asiye na soni wala haya, mtoto wa kike atajiona amefika na haitaji safari nyingine.
Je! kama ndivyo Dada/Mama huyu atapima upendo kwa mtu ambaye ni mahiri wa kuongea, Je! upendo wa Bubu ataupimaje? kwani bubu hawezi ongea.kwa maana hiyo nasema mapenzi tungewaachia ma MC kwani ndiyo wapigaji wa domo. Hapa ndo najiuliza je ni kipi kipimo sahihi cha upendo?