masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,211
Mnhh hata bastola siku hizi wadada wanazo
kwa wanaume huwa ni nin?Matumizi yake kwako ni nini?
ni sawa tu
Hivi kuna ubaya mwanamke kutembea na haka kisu kidogo maana hata wanaume hutembea nacho.?
kwa wanaume huwa ni nin?
Sijawahi kumfahamu kwa karibu yeyote anayefanya hivyo, so siwezi kujibu. Kwa hiyo unabeba kwa sababu wanaume wanabeba, sio. Kuna wanaume wanatembea na pombe kwenye jackets pia, wapo wengine wanatembea na condoms, would you do that too?
kukata kata vitu
Post zako za karibuni tokea ile ya nanihii akiomba nanihii then hii ya kisu nasubiri uanzishe nyingine ihusuyo maisha baada ya kifo kisha dots zikamilike!
Sio mbaya
Kwanza vibaka wamezidi siku hizi
(kama utaweza kumthibiti nacho, ila angalia usije ishia jengo la serikali tu...)
Hivyo utembee nacho kwa kukilinda na si kwa kuwa wanaume wanabeba