Wanawake: "Humalizi tu, mimi nimechoka"

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Wanawake wengi huwa na tabia ya kulalamika wamechoka katikati ya mechi au kwenye harakati za goli la pili, ili hali mwanaume amejipanga kucheza mechi kuu. Utamsikia "Humalizi tu, mimi nimechoka".

Hali hii huwakata stimu sana madume na kupoteza kabisa hamu ya kufanya mapenzi, kwa wakati huo na hata baadae, na kusababisha kukukinai hata akikuona tu.

Na hii ni mojawapo ya sababu za kutafuta mbadala a.k.a michepuko. Najua wanawake hamuwezi kuwa fit kwa mechi daily, lakini chungeni sana kauli zenu wakati wa mechi, zitawagharimu.

Nawakilisha kwa mjadala mpana, nikosoeni ikibidi
 
Mara nyingi wanaoto kauli hii ni machangudoa wanataka umalize wakatafute wateja wengine. Kama sio changu ni mwanamke wa kawaida basi huna ufundi wowote wa mahaba zaidi ya kusukuma ndani na kutoa dushe lako yaani unamchosha tu.
 
Ukiona mwanamke anakuambia hivo ujue unamboa, utakua hujui kitu kazi kurukaruka ruka kama chura na kuhema hema maliza tu kwakweli.....michosho

Tatizo nyie mmetofautiana sana mwingine anapenda ashikwe mahali flani mwingine hapendi sasa mkikutana na mwanaume anayekariri ndio hayo
 
Si lazima mwanaume awe hajui kazi. Wakati mwingine ni pale anapochelewa sana kumaliza labda wewe dada ulishapizi yeye bado sana. Wakati huu wanamke anakuwa hana mzuka tena anataka amupuzike mpige stori kidogo za kimhaba kisha ashiki zikipanda muingie awamu nyingine. Kwa hiyo mwanaume kama umechelewa sana bora usitishe kwanza usiumbue mwenzako usubiri awamu nyingine mkishapumzika.
 
Hahahahah
Mbona mnampa za uso???

Mleta mada anajua kukomaa kiunoni ndio kumfurahisha mwanamke???


Sasa kama mtu wakati wa match hasakati kabumbu inavyotakiwa ... Na bado anachelewa hata kufunga magoli si bora umwambie....

Ukiona mwanamke anakuambia hivo ujue unamboa, utakua hujui kitu kazi kurukaruka ruka kama chura na kuhema hema maliza tu kwakweli.....michosho
 
mmmmh hizi mada kutiana majaribuni tu


ila sikufichi mwanamke akikuambia hivyo kuna matatu
1.unamboaaaaa to the maxmum
2.unamchosha to the max
3.spana zako mbovu
 
Ukiona mwanamke anakuambia hivo ujue unamboa, utakua hujui kitu kazi kurukaruka ruka kama chura na kuhema hema maliza tu kwakweli.....michosho

Hebu nipe favorite zako ili unipe credit .. Unataka Nini toka kwangu .. kwa faida tu hebu nitajie japo mambo matatu .. matano ukitaka wewe.
 
Back
Top Bottom