Kwenye ulimwengu wa mahusiano kuna mtindo saivi kwamba wa kwanza kumpotezea, kumchunia au kumuacha mwenzake ndo mshindi, sio mtindo mzuri ni utoto.
Kama kweli mnajaliana mtaongea na kusuluhisha...
Njooni huku; naona kwenye ule uzi mwingine tumevamiwa na jinsia ya upande wa pili, ngoja tuwaachie.
Mahusiano ni kuvumiliana na kuchukuliana madhaifu yetu, ila kuna wakati unasema hapana, siwezi...
Sijabahatika kutembea mikoa yote ya Tanzania, ila kwa baadhi ya sehemu nilizowahi kufika, nimegundua wanawake wa KIHANGAZA ni wife material.
Wahangazi ni kabila linalipatikana wilaya ya Ngara na...
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.
Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya...
Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku...
Ndugu zangu kama nilivyokuja kipindi kile na malalamiko yule bwana angu jamani baada ya ushauri wa hapa kweli nilijihidi kumuacha yule bwana maana nilichoka pia aisee, japo haikuwa rahisi
Sasa...
Mwanamke umezaa na mwanaume alafu ukaanza kumuona hafai sasa kwanini ulimpanulia papa.. Isitoshe Mwanaume akakuchoka..
Akaondoka kabisa akawa mbali na wewe.. Kwa aina nyingine akapata mtu akazaa...
Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa.
Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano...
Nilialikwa katika familia moja kwa madhumuni ya kutatua mgogoro wa ndoa, malalamiko ya mke yaliniacha na maswali mengi sana
Hawa wanandoa walifunga ndoa yao mwaka jana nadhani haijafikisha miezi...
Salaam,
Niende kwenye mada hapo juu Mimi niko America toka 2023 nabeba box, awali ilikua kila siku wife anapiga tunaongea hata mda mfupi wa break (naingia night shift)sasa hiv mpk mimi ndo nipige...
Namuachaje kwa amani, nilimtoa kwenye ndoa yake ili anizalie sasa mke wangu naye kapata mtoto sitaki tena kuchepuka!
Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7. Katika kipindi chote hicho mimi na mke...
Umaskini Umaskini Umaskini Nakuita mara tatu😭
Yupo yupo tu. Kwa mujibu wake ameanza kupambania maisha yake tangu akiwa na miaka 14 baada ya kufeli shule darasa la saba. Kapambana sana maskini...
Nimeamua kuja kuandika ili kama ni msomaji wa JamiiForums basi utachukuwa hatua, mkeo amekusalia mtoto mzuri sana na mke pia ni mzuri ila unacho fanya kumsusia mkeo kisa ishu ndogo hivyo mnagombna...
Wana JF,,
Mwenzenu sikujua kama demu wangu ni mke wa mtu maana sijawahi kuona dalili yoyote ya kuashiria yeye ni mke wa mtu, (mf pete) mi nakaa Kisongo yeye Ngulelo hapa Arusha. Binti anayajua...
Tukio hili lilitokea China ndani ya hifadhi ya wanyama pori huko Beijing.
Wanandoa na mama mkwe (mama wa mke) walikuwa ndani ya hifadhi mke aliposhuka kuelekea upande wa dereva alikokuwa amekaa...
Ulaghai wa mahusiano mtandaoni hutokea pale ambapo mtu anaamini yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine 'tapeli' katika Mitandao ya kutafuta wachumba 'dating sites' kama vile Tinder na OkCupid...
Wajuba kwenye mahusiano ya kindoa huko ukweni kuna vituko vingi sana. Hebu tuangalie vichache. Unakuta familia ina mabinti kama watatu, wanne, watano na kuendelea wameolewa na wanaume wenye vipato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.