Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilioa mwanamke kwasababu ya shape yake na kimo chake. Kadri nilivyoendelea kuishi naye nikagundua nimeoa kichwa maji,lakini kwakuwa nampenda sana nimeendelea kumvumilia mpaka leo hii,na...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
Nisiwe mnafki hata kidogo, mimi ni mkristo lakini linapokuja suala la ndoa za kikristo huwa sina imani nazo, ninapoona ndoa zinafungishwa na padri au mchungaji wakati hili jambo halipo katika...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Kuna kipindi mke wangu alikuwa anabana Sana kunipa utamu yani hadi umbake la si hivyo utalala mzungu wa nne mwezi mzima kwa visababu visivyoeleweka Sasa kama rijali nikaona usinitanie kwanini...
12 Reactions
102 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Mimi ni kijana wa miaka 28. Nmeajiriwa sekta binafsi , kipato changu ni 400,000 kwa mwezi natafuta mwanamke wa kuoa kuanzia miaka 17 hadi 24 awe mzuri wa sura , awe rangi yoyote, asiwe na mtoto...
2 Reactions
11 Replies
729 Views
Wakuu Huwa ninalia sana ninapokutana na mke wa mtu ananisimulia madhaifu ya mume wake,mala ooh akifika kuchomeka kuchomoa kumwaga na kulala,mwingine hata dakika mbili tu kamwaga Kumbe nimegundua...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Wala sina mambo mengi zaidi ya kusema nampenda sana mke wangu Ester, huyo mtoto wa kichaga ananimaliza sana. Mungu akulinde sana Ester wangu.
13 Reactions
36 Replies
1K Views
Kwanza ngoja kwanza nicheke, Ujue haijapita hata wiki maana kaolewa jmosi iliyo pita Mambo ni hivi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa Ndoa...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimegundua kwamba Mwanza kuna wanawake wengi Sana, Wazuri na sio Malaya, wasio na alama za weusi katikati ya mapaja. Hawajatumika sana. Na kikubwa zaidi wana " Jasho" Zuri. ( Jasho la mwanamke ni...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma ilikua ngumu sana kwa mji wa Moshi kukuta wanawake wanajiuza hii ilitegemea na maadili ya dada zetu wa kichaga nimeshangaa sasa mitaa ya TANESCO Malindi clab kukuta wamejipanga kwa...
2 Reactions
76 Replies
45K Views
Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu...
66 Reactions
277 Replies
31K Views
Hapa uzi huu utasaidia wanaochumbia na wanaposa. Je, waliooa wanawake wenye watoto mnaweza kutupa mrejesho?
2 Reactions
185 Replies
35K Views
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana...
31 Reactions
383 Replies
14K Views
WanaJF kwema? Miaka tisa iliyopita nikiwa job kwangu alipita mdada mmoja wa makamo ila kanizidi miaka kadhaa, mi nikamuomba namba baada ya kusalimiana na akanipatia tukaanza kuchat na kuwasiliana...
7 Reactions
70 Replies
3K Views
Nadhani Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa matapeli wengi wa mapenzi duniani, huwezi amini mchepuko wangu aliamua kwenda kuolewa na jamaa eti kisa mimi nina familia na nilimwambia siwezi kumuoa...
1 Reactions
2 Replies
480 Views
Yule mdau alikuwa anaporomosha matusi makubwamakubwa ya nguoni mengine hata sijawahi kuyasikia hapo kabla aisee
21 Reactions
348 Replies
32K Views
1. Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani. NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa...
114 Reactions
340 Replies
53K Views
Habarini za sasa. Mvua dar zinaendelea kupiga mfululizo hazikati na ndio zimenipa shauku ya kuandika huu walaka. Akili_ninazo ni kidume mrefu wembamba kwa umbo, nipo singo na nina ugwaduu wa...
12 Reactions
212 Replies
6K Views
Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa. Mitandao kama Tinder, Badoo...
35 Reactions
38 Replies
13K Views
Baada ya miaka mingi ya utafiti nimegundua vitabu vya hawa wanaopenda kula ndizi vinalainika na kufunguka mapema tena bila shida na maandishi husomeka kwa uzuri sana ukilinganisha na hawa wenzao...
7 Reactions
19 Replies
902 Views
Back
Top Bottom