Wanawake Sometimes tuna matatizo sana tukubali ilo

Wanawake Sometimes tuna matatizo sana tukubali ilo

Imposibo_

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2016
Posts
2,746
Reaction score
2,125
Mwanamke umezaa na mwanaume alafu ukaanza kumuona hafai sasa kwanini ulimpanulia papa.. Isitoshe Mwanaume akakuchoka..
Akaondoka kabisa akawa mbali na wewe.. Kwa aina nyingine akapata mtu akazaa naye tena.. Wewe ukajua kwamba kazaa na mtu fulani.. Ukaamua kumtafuta uyo mwanamke umfahamu.. Na ukaanza kumtengezea maneno ya uongo .. Cha ajabu mnakaa mnakubaliana eti kumkomoa yule mwanaume..

Ivi elimu tunazosema tumemesoma UD huwa zinasaidia nini.. Mnakuaje Marafiki labda.. Nini mnataka haswa??
Tujitambue bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ngoja waje

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Pole sana mkuu.

Pambana na hali yako.
 
Yamekukuta nini ukafatwa na huyo mwanamke wa dha.ani, ekiboko ki km atela mkabaro naiwe kilikutera ,utapata hasara usipo penda ushirikiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Most women are self centered ,kwa iyo bila ya yeye kulidhika ayo mengine hua hayana meaning
 
Back
Top Bottom