Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nahitaji mwana mke awe mwanza umri 30-42 akiwa na mtoto haina shida ila asizidi 1 .. naishi nyegezi nina miaka 43 na mtoto mmoja ... aliye tayari ani pm tuyajenge
1 Reactions
2 Replies
365 Views
Natumaini mu wazima week end hii,mi naomba mjadili hili swala la mapenzi kinyume cha maumbile(tigo)katika ndoa kwani katika mijadala mingi jambo hili hujadiliwa haswa linapokuwa nje ya ndoa lakini...
1 Reactions
184 Replies
24K Views
Mwaka mzima umemaliza zaidi ya milioni 5 kwa ‘upuuzi wa kununua mbususu’ – kila wiki dada poa tofauti, hoteli, vocha, na outing. Lakini ukiambiwa uanze mipango ya harusi unasema “bado muda”...
9 Reactions
68 Replies
2K Views
1. Unapokuwa kwenye mahusiano jiwekee imani kwamba mpenzi wako hajakamilika na anaweza kukukosea kwa lolote wakati wowote (Hakuna binadamu aliyekamilika) So jiweke tayari. 2. Mpende mpenzi wako...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Najua haiwahusu ila nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji sasa basi nina majike wanne na jogoo moja, nimeshtushwa sana jinsi jogoo anavyowajali wake zake, Kwanza, jogoo hali mpaka majike wale...
25 Reactions
92 Replies
3K Views
Ayesha akiwa na mume wake Steph Mke wa mchezaji mahiri na wa Basketball,; Steph Curry, katika mahojiano na chombo kimoja cha habari amedai kwamba anashangaa na wakati mwingine anasikitika kwanini...
8 Reactions
105 Replies
12K Views
Mimi kadogo2 kwa mara ya kwanza nimekuwa wa kwanza kumpenda mwanaume, haijawai tokea hata siku moja kumpenda mwanaume bila yeye kuniambia kuwa ananipenda ndipo na mimi nijifunze kumpenda… Mkaka...
14 Reactions
142 Replies
5K Views
LEO ULIJUE HILI Tofauti Sahihi (Kibiashara): 1. New Phone (Mpya Kabisa) Haijawahi kutumika. Imefungwa (sealed) moja kwa moja kutoka kiwandani. Inakuja na warranty ya kiwandani. Hii ndiyo aina...
9 Reactions
72 Replies
2K Views
Wakuu, Wazoefu wa hizi mambo na wenye details zote tuambizane hapa jinsi ya kumtambua mwanamke ambae anashiriki anal sex mana nasikia ni tatizo kuna wadada wanashiriki kwa mabwana zao wanaact...
12 Reactions
470 Replies
201K Views
Mwaka flani nikiwa kijana huko Tanga nilienda kufanya Field, miaka hiyo ya 90's late. Ikawa tumechukua room na jamaa yangu, basi kukawa pale tunapofanya field kuna binti mmoja mkali kila mtu kwa...
36 Reactions
342 Replies
118K Views
Hello, Nakumbuka mwaka jana nilikuwa mkoa mmoja si nikaopoa mtoto aisee mtoto ana nywele za kiarabu mzuri balaa tukakubaliana kulala 30K, nikachukua boda mpaka lodge niliyofikia tukaanza...
45 Reactions
385 Replies
53K Views
Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana Shida inakuwa nini....?
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Dah nakumbuka me ndio nilikuwa naanza nikakutana Na demu Fundi balaa basi nilikuwa nazidiwa possession kila round. Me ndio sijui chochote zaidi ya stori za kitaa.Nikapapasa kama nilivyokuwa...
25 Reactions
134 Replies
29K Views
Nna msela wangu mwanangu wa dam mabest kinyama toka uboyzin enzi izo sekondari, jana kanipa mchongo katika pitapita zake kamtoroka wife kazama bar kaopoa jike. Anasema katika kutulia kwake...
14 Reactions
51 Replies
28K Views
Aisee kuna dada yangu mtoto wa mjomba ana watoto Wana akili Sana mmoja alivyomaliza kidato Cha nne alipata two, mwingine alipata one na advance wamefanya vizuri tu, mmoja amemaliza chuo, mwingine...
4 Reactions
7 Replies
605 Views
Nimeingiwa na Roho ya Tamaa sana baada ya kuona video jongeo ya mtoto wa pastor Yule si mtoto wa 2009 kabisa? Shetani pita kaa mbali nisije kwenda Jela😅😅😅
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Hello wakuu Najua bongo mambo yote yanawezekana. Kuna dili nimeipata mahali,ila sharti natakiwa kuwa na cheti cha ndoa.so nimeumiza kichwa hapa nikaona nije humu niwaulize wazoefu kama kuna...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Naitaji mchumba umri Miaka 26-33 ili awe mke aliye tayari anicheck PM.
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Back
Top Bottom