WANAWAKE WEMBAMBA WALIO WENGI
ASILIMIA kubwa ya wanawake wembamba wakiwa kwenye HASIRA ni wababe balaa😀
Wanawake wembamba wengi ni O na lishawahi kusema kuhusu watu hawa kuwa ni wababe😀
MISIMAMO...
Habari za Jumapili wanajamvi.
Niende Moja kwa Moja kwenye mada inayoniumiza kichwa mpaka nakosa amani ya moyo kwa muda wa week sasa.
Mimi na mke wangu tangu tufunge ndoa huu ni mwaka wa tisa...
Yo! Let’s fcking talk – na leo siongei kwa utani, si cheki na mtu, na wala sibembelezi hisia za mtu yeyote. Kama unajua umeumia na mapenzi, hii ni ya kwako. Kama bado upo kichwani unawaza mapenzi...
Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe...
Kuna jamaa yangu katoka bush kuja kufuatilia masuala yao ya mirathi hapa mjini,sasa kwa sababu ni mtu wa kijijini na tunafahamiana nikamuambia hakuna haja ya kufikia lodge hapa kwangu kuna chumba...
Sawa Wanaume Hatuliziki Hata Tupewe Nini Ila Nakupeni Siri Moja Hakuna Mwanaume Anaweza Kuchit Akimiliki Mwanamke Mwenye Mlima Kama Huu Huo Ujasiri Wa Kuchit Atautoa Wapi Kwanza.
Mkoa Gan...
Mimi ni Msabato kindakindaki. Nilibahatika kufunga ndoa na binti Mkatoliki, alihamia Sabato na akabatizwa ubatizo wa Kisabato.
Huyu binti ni mpigaji mzuri wa kitimoto, yaani balaa. Nimemwambia...
Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116]
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
Habari wanajf natumaini muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya kila siku,kwa wale wenye changamoto yoyote poleni
Husika na kichwa hapo juu,Ipo hivi nina rafiki yangu ni mjamzito ila sasa...
Nilimpenda kwa dhati. Sio kwa sababu ya uzuri wake tu, bali kwa namna alivyonifanya nihisi – kuwa mimi ni wa thamani, hata nilipokuwa sina kitu. Lakini mapenzi peke yake hayakulisha njaa...
Mapenzi Jalala
1 Mapenzi kitu ajabu, kumbe anaye mwingine
Waliya bila sababu,yeye yupo kwa Zidane
Hata bila ya sababu , ataenda kwa Zahabu
Mapenzi kama jalala, utupapo waokota
2 Ya kama...
Tulikuwa katika mazungumzo na vijana tofauti kuhusu maisha, kijana mmoja akaleta mada ya useja
Kwa kuanza tulianza na mfano kwa kijana mmoja anayesemekana anaishi peke yake
Nilianza na swali la...
Nimezunguka hii nchi ila hiyo mikoa imenitetemesha. Mbeya wanayo ya asili, Mtwara wanayatengeneza mtoto anapo zaliwa, yanakuwa yanabinuka juu juu, malainii viuno wanavirekebisha na shanga, pia...
Sijui ni pepo la ngono ama vipi wakuu yaani nikiona tu maziwa au chuchu za mwanamke hasa hasa zile chuchu saa sita napatwa na msisimko wa ngono inayopelekea kurukwa na akili wakuu
Kiukweli hii...
Kwanza ifahamike kwamba neno feminism lina tokana na neno feminine ambalo ukiperuzi maana yake utakuta ni “having characteristics that are traditionally thought to be typical of or suitable for a...
Habarini wakuu natumaini mko wazima wote leo niwaeleze ,Maana ya kuishi na mwanamke kwa akili ni kuwa na uhusiano wa busara, hekima, na uelewa na mwanamke katika maisha ya kila siku. Hii inaweza...
mahusiano bora ni yale ya watu wawili waliojaa upendo ambao wako tayari kushare upendo huo
Ila cha ajabu sasa mahusiano mengi ya sasa hivi ni ya watu wawili ambao hawana upendo ndani yao na...
Umri 23-30, uwe Mkristo wa dhehebu lolote, uwe wa kabila lolote ili mradi unaishi Mwanza, elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea, usiwe mnene sana wala mwembamba sana, uwe mweupe au maji ya kunde...
Habari wana JF.
Mie ni kijana nimeona na nina watoto wawili. Kimaisha sipo vibaya sana nashukuru Mungu. Changamoto kubwa inayonipa hardtime ni Kodi ninazolipa kwa ujumla kuanzia kwenye biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.