Yaah Ile ni wanawake, hii ni WamamaWanawake wana sherehe nyingi, kwahiyo hii ni tofauti na ile ya siku ya wanawake?
Ukishakuwa binti kuwa mama kutakuja kwenyewe Automatically,.Wewe ni mama lakini...picha inaonyesha bado unanyonya.
Unaweza kuwa sister,unaweza kuwa kama Salama Jabir usiseme automatically Huo ni mtazamo wakoUkishakuwa binti kuwa mama kutakuja kwenyewe Automatically,.
Thanks in Advance
Of course ni mtazamo wangu tu mkuu,.Unaweza kuwa sister,unaweza kuwa kama Salama Jabir usiseme automatically Huo ni mtazamo wako
Kwani huna mama mwoneHappy mother's day my mother MamaSamia2025 💐🥀
Thank you
Nimelitania hilo chawaKwani huna mama mwone