Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari Jf, Ili uweze kufaidi au kuwapata warembo wa mjini unatakiwa kuwa na tabia ya kudanganya,mwambie unaemhitaji kuwa wewe una maisha yako mazuri,yaani una nyumba,magari na una makampuni ili...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Maneno haya siyo yangu nimekopi na kupest. Ila naamini utakota mojawapo katika haya. Maneno yenyewe ni haya yafuatayo; Virusi vya ugonjwa wa kichaa cha Ndoa vinatoka wapi? Virusi hivyo...
8 Reactions
45 Replies
7K Views
Habari wakuu, Jana jumatano nilikua bar moja hivi hapa mjini, kwa bahati baada ya muda kidogo akaja aliekua mpenzi wangu akiwa na jamaa mwingine nadhani ni mpenzi wake. Huyu binti...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
WanaJf, Mume wangu ananikataza nisiende kumuona mama angu ambae ahsubui kanipigia cm kua uck kucha amechemka kwahy anaomba niende nyumbani. Cha ajabu hubby kaja juu ananiuliza mtu akichemka tu...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwanamke hata umpe kila kitu,au ujitume vipi katika uwanja wa sita kwa sita ni lazima akusaliti tu siku moja kwa kuchepuka,kwanini wewe umeoa mke toka Magharibi,Kusini au Kaskazini na kwenda nae...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ever realized that you could actually learn from the music? Well, here's the proof. It's a De La Soul's gem called 'Trying People', from the album AOI: Bionix which was released in 2001. I chose...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, "Yule jamaa ameendelea, ameo siku hizi" Je kuoa ni maendeleo?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni mwaka wa 13 sasa tukiwa kwenye ndoa. Nimeajiriwa, nafanyia kazi vijijini huku mke wangu na watoto wanaishi mjini ambapo yeye anajishughulisha na biashara ndogondogo. Kwa sababu ya umbali na...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Ni hivi kuna binti nimekuwa nae kwenye uchumba kwa miaka miwili sasa yeye ni muislam na mimi mkristo, tumebahatika kupata mtt japo hatukuwahi kuishi pamoja kama mme na mke ila tulishakubaliana...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Habari za mwanzoni mwa wiki, . Nimekuwa nikifatilia jinsi mnavyochangia kuwashauri wale waliogubikwa na mambo ambayo kwa fikra zao hawawezi kutoa maamuzi sahihi. Mimi ni kijana mwenye umri wa...
2 Reactions
108 Replies
14K Views
Habari, Kwa jina naitwa Johnson na miaka 31 naishi Dar. Natafuta marafiki wakike wa kubadilishana mawazo na kushauriana. Wenye umri wa miaka 18-32.
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Wapendwa habari ya jumatatu? Nawapenda sana na ninawatakia wiki njema yenye mafanikio makubwa kiroho na kimwili. Eti nauliza kaswali haka naomba mnisaidie jibu wazoefu, kwa mfano mtu...
0 Reactions
106 Replies
13K Views
Asanteni wote mlionishauri..........nimefarijika sana......asanteni sanw...nimepaya faraja na sasa naweza kusimama tena na kupiga hatua mbele.....
3 Reactions
122 Replies
16K Views
People date with a future in mind. No one wants to exclusively commit to a relationship that doesn’t yield a future or that goes nowhere. Your time, love and heart is too precious to waste. So how...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari za leo wapendwa, Nisiwachoshe, nina mke na mtoto mmoja sasa,lakini tangu mke wngu amejifungua mpaka leo yapata mwaka mmoja umepita nimekuwa sina hamu nae kabisa kimapenzi . Usiniambie...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Huwa nashangaa sana unakuta mwanamke anakuambia bila ya woga 'mimi marafiki zangu ni wanaume tu sipendi wanawake wamejaa majungu,mashauzi,kujiona na sio wasiri'. Unakuta hana haya kuzungukwa na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
MIDUME KILA SIKU NYINYI TUU LEO ZAMU YA WADADA NAO WAWATESE AISEEEE!!!! Kidume kuanzia leo utapumulia utosini!!! DAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIKE (Wakati wa mambo yetu yaleeee) £we dada yangu...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Kipindi nikiwa chuo nilikutana na binti mmoja mwenyeji wa Iringa tuliyekuwa tunasoma nae mwanzoni kabisa sikuwa na lengo la kumtongoza maana niliona mambo yake yalikuwa juu lakini kadri siku...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mwadila mabestito Natumai mko fiti na mnaendelea na majukumu yenu ya kujenga taifa na familia kiujumla. Leo mwalimu wenu nimekuja na somo jipya ambalo nimeona niwape umakini jinsi ya kuishi...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wadau, Hivi ni kweli walimu wanawake ndio watu sahihi kwenye ndoa tukiangalia mifano ya ma rais wengi africa wake zao ( first ladies ni former teachers). Mfano Sitti Mwinyi, Salma...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom